Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi mbezi kwa magufuli yaani hapa kichwa kinauma sio poa kabisa wazee.huyu mjknga huyu daa

Pesa ni za.wife za.mauzo ya leo.dukani kwake pale bamaga sasa nilipaki gari nikaenda kupata futari sasa kosa langu mimi sikufunga mlango aisee niliuegesha tu aisee kumbe kuna wahuni wananisoma tu aisee baada ya kumaliza.kupata futari kurudi kwwnye ndinga yangu nissan juke number E nakuta mlango umefungwa kama nilivyoacha lakini kuangalia ndani milioni 10 haipo,busainess card zangu hazipo na document za makabidhiano ya kununua mgodi wangu wa dhahabu geita haupo

😩😩😩😩😩😩
Extrovert
 
Milioni kumi unaenda kula futari gengeni kweli ukuota hotel.
Fanya kama umetoa sadaka vile ili upooze maumivu
 


Nilikuwa najiuliza mbona kama nimewahi kuuona uzi kama huu?! Kumbe ni yuleyule mzee wa kamba
 
Hata Mimi ningepiga hicho kibunda ya million 10 harafu hufungi mlango
 
Kidogo niamini lakini uliposema unaenda kununua mgodi geita nikagundua chai ya rangi
 
Una milioni kumi kwenye gari, then unaacha mlango wazi ili uende kula maeneo ya stand ya mbezi? Mpaka hapo upelelezi imekamilika ya kua taarifa ni ya uongo.
 
 
Hivi ukisema uongo unapata faida gani humu
 
Back
Top Bottom