Hawa: Wimbo wa 'Nitarejea' wa Diamond nauchukia sana, Umeniharibia maisha yangu

Huyu si ndio alizidiwa kete na wema sepetu daimond akahama,ashaliwqa
 
Watanzania tumeshazoea ujamaa kiasi kwamba kusaidiwa unaona ni haki yako ya msingi.

Hapana bana inabidi amtoe dada kafanya kazi nzuri sana na aliweka uhalisia kwenye shooting kama vile kweli
 
Tuchukulie Diamond akaamua kumlipa hiyo pesa ya colabo sasa itamsaidia nini? Kama siyo kujiongezea unywaji wa pombe ili kupunguza hizo stress zake
 
alikuwa anahojiwa mwaka jana kama sikosei na Abdallah Hamis Ambua mjukuu,mpaka sauti ni ya kiteja halafu anajifanya pombe kali,apeleke mbele stress zake za maisha huko
 
Huyu sie tumeshamzoea mitaa ya kwa Aziz ally. ....mtoto ananyonya viloba balaa yeye na Maunda Zorro..yaani akishalewa watu wanavuta tu kiuraini..halafu mbona unga anavuta kama kawaida.

Maisha kajihalibia mwenyewe kama alikuwa anataka kutoka kimziki mbona halikuwa anaishi na familia ya mziki ya Mzee Zahir Zorro...
Tatizo aliendekeza sana starehe na umaarufu mavi wa uswahilini kutwa kwenye vibar na vigrocery na maisha ya gheto kujidunga heroin.
 
Kipindi hicho Diamond alikua bado anajitolea kwa said fella kutafuta working experience so atulie tu as Diamond nae alikua hana hela.:biggrin:
 
Nahis ndo sababu mondi alimpotezea maan starehe na pombe kwake haram.
 

Mhuuu...I ddnt know this!
 

Maelezo ya mtu mwenye fake I'd siwezi kuyaamini.na isitoshe hayana source.source from fake I'd hapana
 
huyu dem kweli alishatoka na mondi alielezea enzi hzo mond sio super star Hawa anaenda kujiuza alafu anamletea jamaa mkwanja sikumbuki vizuri na jina la bar alilitaja. Akasema alishawahi kukaa home kwa kina mondi. Alihojiwa mwaka jana nadhani.

Source Xxl ya cloudz.
Ila inaonesha huyu dem huwa anapewa hela na mshkaji sema labda ndio huo uteja jamaa akampotezea.
 

Huyu Hawa mm namjua kabla hata hiyo video, anahitaji msaada kiukweli, alitegemea atapata pedeshee baada ya kuuza sura ktk hiyo video bila mtonyo, dah!
 
Kwa hili kweli dmond kakosea sana.hata kama walikosana angemsaidia hata kidogo kwani dmond yy ashakuwa na uwezo mkubwa.angejitahidi kukumbuka alikotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…