Hawa: Wimbo wa 'Nitarejea' wa Diamond nauchukia sana, Umeniharibia maisha yangu


Wewe haya maneno yametoka kichwani kwako au umehadithiwa na hawa mwenyewe?..aachane na domo amtafute baba mtoto wake walee huyo mtoto si anajua nani alomttomba na kumpa mimba??awatafute wote wallomtomba
 
Wewe haya maneno yametoka kichwani kwako au umehadithiwa na hawa mwenyewe?..aachane na domo amtafute baba mtoto wake walee huyo mtoto si anajua nani alomttomba na kumpa mimba??awatafute wote wallomtomba

Sijasema mimba ni ya diamond nasema uhusiano walio kuwa nao before hata hawa hajawa na mimba baada ya ule wimbo hawa kafanyiwa sana interview
 
Diamond anasaidia watu wengi na inajulikna ahana roho mbaya ....huyu lazima amekula pesa zimeisha na alizitumia vibaya hata kama ilikuwa ndogo na sasa ni wivu tu...kuliko kuongea pumba si angeomba apewe kazi...

hii tabia ya wivu bila kutumia akili ni tabu sana, anatafuta kiki tena kupitia mgongo wa Diamond.

wivu tu amechacha ndio anakumbuka alipotoka kwa ujinga huuu kutaka kumshusha Chibu asonge mbele ajipange nakuheshimu wengine.
 


so Diamond alitengeneza sh ngapi kwa kideo hicho? na pia walipanga makubaliano gani ya hawa kushiriki?

naona unawajua sana haya shusha habari basi
 
Ila ule wimbo ulinitoa machozi... Aliutendea haki kwa kweli.
Nashauri Diamond ampeleke/gharamie Rehab kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Pole Hawa.
Ni miaka mingap imepita uje udai malipo yako leo.. Dhahiri hapo umekosea. Pili hiyo kusaidiwa, ungefanya wema ukaenda zako. Mana jema utendalo malipo yake yanatoka kwa Mungu sio mwanadamu.
 
Haya ni matokeo ya kufanya collaboration bila vigezo na masharti.Nini zilikuwa terms and conditions? !
 
Naona watu mnatokwa na povu! Na mtaendelea kutokwa na povu kama mtakuwa mpo kishabiki

Jiulize Hawa wengi wamemjua baada ya nini? Before hawa hakuwa hata na wimbo mmoja alipo shirikishwa na diamond kwa mara ya kwanza alifanya vizuri na aliutendea haki wimbo na watanzania wakamfaham ukubali bila ya nitarejea wengi wangekuwa hawamfaham hawa

Baada ya nitarejea hawa maisha yake yalianza kufuatiliwa kama msanii ambae teari kasha toka,hawa alifuatwa na media mbali mbali, na walipiga show ya wimbo huo kitu kilicho mfanya hawa afahamike vizuri Huo ndo ukweli

Na,nitarejea imefahamika kuliko hata Bum Bum,Hawa kafanya kazi kubwa kuliko hata Khadija Kopa kwenye nasema nawe so unapo ongelea nyimbo ambazo diamond amemshirikisha mtu na zika hit ni huez iacha nitarejea

Nyimbo imemuharibia vipi mbali na kuto kulipwa kule tu kufahamika na jamii kuwa huyu ndie alie fanya kolabo na diamond huyu ndie alie fanya watu watoe machozi kwenye ule wimbo wanapo usikia ni kigezo tosha kukuharibia maisha au kukuinua kimaisha! Kama mashabiki wangempokea vizuri hawa na diamond aka,msaidia hawa kutoka na hawa akapata mafanikio na leo aka kuja hapa na kusema nitarejea imenisaidia sana namshukuru diamond watu leo msinge tokwa na povu hivi msinge sema hayo mnayo sema!

Wekeni mind zenu ziwe teari hata kupokea vitu negative msipende kila anae ongea aongee positive kama wewe unavyo taka

Hawa angefanya kazi na Meda classic leo tungemjua? Diamond alitakiwa amsaidie kimziki au hata kimawazo tu na hata hvyo hawa anamfuata kuomba msaada anashindwa nini kumsaidia kweli anasaidia wengi lakini kumsaidia ulie toka nae chini ni huwezi?

Fuatilieni mambo msitegemee kila siku mje hapa mtafuniwe
 
Reactions: Pep

Naungana nawe kwani nami nimpenzi mkuu w Diamond. Kwa kweli nitarejea ndo uliomtoa Inawezekana kawakt iule hakuwa na chochote kwa sasa baada ykufanikiwa atakuwa mungwana angeemmpa a certain amount of money. Hata huu kujiuisha n mada wa (ingawa mweneyewe amekataa) inawezekana ni moya sbb kuona wimbo uliomtamb ulisha Diamond unafnya vizuri naehana chochote Actually kwa nchi zenye sheiria fair kwa huo huo wimbo Hawa hakutakiwa kuwa maskini. Hata yule dada alieact wimbo wa Mbagala alsitahili zaidi licholipwa I Beiieve. Diamond tumia uungwana wako!
 

Kwa hakika unayonena Danya Kunaitajika support ili mwenzie waliyetoboza nae pia apate nafasi ya kusimama japo kiuchumi kwa namna ya kawaida kabisa...sio lazima afike kiwango cha juu sana lakini anaweza kumfanya ajitegemee katika level nyingine kiuchumi.

Mungu uwa anamakusidi yake pale anapo yaleta mafanikio mikononi mwetu, wakati mwingine utufanya pia ni njia ya watu wengine kusimama kupitia mlango wako....lakini unapoufunga wakati msaada wa kufungua mlango aliufanya huyu Dada pia kwa namna fulani upunguza bahati, na kama kweli upande wa Diamond ukawa unahusika kutokutoa Support ambayo ilihitajika kwa nguvu na mali kumfanya Hawa nae awe na kijishughuli chake ambacho Diamond akisimama pembeni anajiona ni muhusika wa mafanikio yake kama yeye Hawa anavyojiona ni muhusika wa KUTOBOZA kwa Diamond.

Kwa aibu na masikitiko level aliyofika Diamond kama Nationa Icon eti hana Manager Mahusiano [PR]kama team.Manake mfano kwa jambo kama hili aliitajika mtu toka pande ya Diamond kulielezea hili kwa ufasaha mfano kuwa Diamond uenda alishachukua hatua za kumwinua mwenzie huyo wa mtobozo wa maisha yake kimafanikio akiwa ni Mpenzi wake pia wakati wa kuhussle.Kupitia PR uenda Diamond angetueleza bidii ambazo alishafanya katika kumpigania Hawa kusimama.mfano
1: Labda alishapata kumsaidia kwa namna moja au nyingine,
2: Au alishamsaidia kuingia studio na kurekodi Wimbo

Diamond msaidie Hawa kesho na kesho kutwa utajiwekea nafasi njema wakati wa Rise & Fall when you in way down, watu wakikumbuka ulivyomsaidia Hawa basi wanakuweka kwenye kundi la Legandary....Ni vyema kumuiga Dully Skyes japo sipendi haiba yake [Personality] lakini napenda sana Matendo yake kwa Wanamziki Chipukizi. Dully skyes amewainua wengi na leo hii ni wasanii wakubwa sana kama Mr Blue, Young D na wengineo wengi tuu...Na ndio maana anaonekana kuwa bado ni Legendary wa Uhakika na anakubalika pia.Lakini uenda kwake hisani anayowatendea walio mzunguka ndio inamjenga kumweka hapo alipo dully skyes.

Leo Diamond unaweza kuwa ndiye Top Iconn wa Taifa hili kwenye nyanja ya Muziki, lakini kumbuka kesho na kesho kutwa Taifa litapata Sauti nyingine Mpya toka labda Sangamwalugesha [wewe ulitoka Mbagala] mkoani Shinyanga akaibuka na Sauti ya ajabu kama chiruku na ikavuta Watanzania kwa ajabu, kisha kwa asili ya ulimwengu [Nature] itabidi umkabidhi kijiti bila kupenda.Hiyo ndio inaitwa RISE AND FALL -Craig Davi kwamba kuna kipindi ufika aliye namba moja inabidi atelemke apishe wengine...walikuwapo kina Pelle,leo kuna kuna kina Mess, Kulikuwa na kina Tyson leo kuna wakina Maywether.Yote hiyo ni maumbile ya kanuni Mungu alizo tuwekea kibinadamu cha msingi ni kujua jinsi ya kuishi nazo na kujianda kwa POSITIVE side.

Ukisimama ukambeba HAWA toka aliko na kumwinua kwa kumpa mradi wowote na Watanzania wakaona umempa mradi, iwe ni Saloon ya Kisasa, au Duka la Nguo, basi kesho na kesho kutwa Hawa akilinywa Duka ilo au Saloon hiyo basi watanzania watasimama kukumbuka fadhira zako kwake kuwa mtobozo wako wakati unatokelezea kwa mara ya kwanza ulikusupport nawe pia uliusupport pale ulipokuwa unataka kudondoka lakini umeshindwa kusimama wenyewe kwa kuendekeza mapombe na starehe zilizo mwangusha mara ya kwanza kufikia kupewa ujauzito na bwana aliyekimbia.

Diamond mfanye Hawa ni Dada from anaother Mother, itakujengea Heshima sana,, na kwa heshima hiyo itakujenga sana pale yeye atapakokuwa anastawi umma unajua kuna mkono wa Diamond nao ulishiriki kumludisha Binti kwenye msimo Mwema wa kimaisha [Binadamu wanakosea, uenda alichagua watu wasio sahihi kwenye maisha yake, mpe nafasi asahihishe kosa lake].

Ni kwanini umsaidie Hawa!!! ukweli unajulikana nyimbo uliyoimba nae ndio iliyowainua na kuwavuta Watanzania kwa udhati kabisa na kwa huruma ya ujumbe uliobebwa ndani ya wimbo ule ulivuta Hisia za wengi na kuwainua hsa wewe kukuweka kwenye RAMANI kuwa kuna kijana wa KItanzania anitwa Diamond ana wimbo wenye maudhui yanayovuta hisia za maisha kwenye kutafuta.Na kama pia alikuwa ni ka kipozea ni vyema pia kukumbuka kuwa kwenye maisha ya wanaume wengi mwanzoni wakati wanatafuta maisha upita mikononi mwa baadhi ya mabinti ambao kwa namna fulani walikuwa supportive sana kwenye mafanikio yao japo hawa kuwaoa mabinti hao, kwa hiyo Diamond kwa swala hilo hatakuwa wa kwanza kutomuoa Hawa, lakini anapaswa kutambua mchango wake, wanasema kwenye mafaniko ya mwanaume pembeni yake kuna mwanamke shujaa.Ndio kusema HAWA kwa Diamond hakuwa na GUNDU na ndio maana Diamond alitoka.

Sasa enzi zile za kuhussle Hawa alikuwa ni Mwanamke pembeni yetu, TUSIMTUPE , japo inajulikana kwa wanaume wote kuwa uwa tunapenda wanawake warembo ilo ni dunia nzima linatambulika sana tu.Sasa kwa kuwa HAWA hatoshi kwenye viwango vile vya Warembo wa hadhi tuliyofika basi awekwe kando lakini apewe heshima na kusaidiwa pale anapoitaji Msaada.

Inawezekana alipotoka na uwenda alimchafua kwa wimbo wake wake wa majibu ya kuludi kuona wana kwa kuwa anakula Starehe na Wanawake Warembo hiyo ilikuwa ni sanaa na uenda alilubuniwa au shawishika kuimba vile akitegemea atatoka nae...Lakini kwa kuwa wema aulipwi kwa ubaya msaidie asimame one day uko mbeleni utajipima kuwa ulipata kufanya jambo jema kwa mtu mmoja wa karibu.Manake life is full of Surprise...!!! Maisha yanastajabisha sana LOVE EACH OTHER.

Ombi langu kwa Diamond ni kuwaagiza wasaidizi wake wamtafute na kuanza kumsiaidia kumluisha kwanza kwenye hali ya kawaida toka kwenye msongo [desperate] na kumfanya aludi kwenye uhalisia, kwa kumpa mahitaji ya msingi na kuanza kumuexpose kwenye kwenye Ulimwengu mpya ambao ataonekana kushabiana nao na kuacha ULEVI ambao ulikuwa ni ESCAPING GOAT [MASK] ya ukweli wa kushindwa kwake na kuona njia ya kufanikiwa ni kuwa mlevi.Hivyo bidii za kumludisha kwenye uhalisia kwa kumjali na kumpa maitaji ya msingi ya yeye na mwanae kutamfungua akili...

Kisha atafutiwe kijikazi cha kumweka bussy uku Diamond akimpima na kutathimini nini cha kumfanyia kumsaidia yeye na Mwanawe...akijilizisha kuwa katosha kujisimamia basi ampe hicho kitakacho msimamisha kama HAWA.Kama ni Saloon ya ususi au ni Duka la Nguo [Botique] basi amkabidhi mbele ya Watanzania kisha watanzania watamuhukumu HAWA kwa hatua zikazofuata kama ataamua kuludi kwenye Pombe na Kulinywa Duka au Saloon au atatia bidii na kujikuta anafungua jingine na jingine zaidi na kuwa ametusua kama ndoto zake zilivyomtuma enzi izo kuwa Diamond akitoboza basi na yeye ametoboza zitakuwa zimetia kiana.
 
Alitaka asaidiwe kulea mimba iliyokataliwa ama

NAUCHUKIA MWIMBO WA NTAREJEA.
Ukiandika hivyo ktk you tube itakuja clip ya huyu dada akihojiwa itazame yote alafu rudi hapa kama utaongea tena hizi kebehi.
Dada anastahili kupata msaada toka kwa Bilionaire Dangote.
Pia dada ni kiwanda aisee anahitaji support hivi atoke kipaji bado kipo angalia ndugu yangu ila uwe na leso ya kufuta machozi.
 
Haya wale wabishi wote link hio hapo juu angalieni video na mje mfute kauli zenu kuweni wafuatiliaji wa mambo kama hamuwezi kaeni kimya dada huyo hataki kusaidiwa kimaisha anataka support kimziki
 
Yaani mtu alikuwa hajulikani, wimbo ukamfanya ajulikane halafu tena unadai wimbo ndo umemfanya maisha yake yaharibike... maajabu ya karne haya! Nimekuuliza awali, kwanini hakutumia kufahamika kwake kufanya kazi binafsi ambazo zingemletea mafanikio ikiwa mnaamini bila ya yeye wimbo wa Nitarejea ungekuwa si chochote? Duniani kote wasanii wanatafuta kutambilika ili wafanye kazi zao binafsi na si vinginevyo.... kuna wasanii kibao wanafikia hata kutengeneza bifu na wasanii wenye majina ili mradi tu wafahamike na wafanye kazi zao... kuna wengine kwa makusudi wanaamua kuimba nyimbo za wasanii waliotoka huku wakifahamu fika kwamba wataingia kwenye mgogoro lakini wanafahamu mgogoro huo ndio utawafanya wafahamike na kufanya kazi zao! Huyu Hawa, ni watu wachache sana wanaofahamu kwamba anaitwa Hawa Said... Watanzania wanamfahamu kwa jina la Hawa wa Nitarejea... kuonesha kwamba wimbo wa Nitarejea ndio umemtambulisha kwenye game kiasi cha watu kutofahamu hata jina la baba yake! Sasa kwanini asingetumia huo "umaarufu" kufanya kazi zake binafsi? Nini alikosa? Ikiwa unaamini alikuwa the talk of town, unataka kuniambia alishindwa hata kurekodiwa bure? Kuna wasanii wangapi wala kufahamika hawafahamiki na bado wanarekodiwa bure... why not her? Leo umekuja na mpya... alitakiwa amsaidie kimuziki na sio tena madai ya awali kwamba Hawa hakulipwa pesa zake! Tuje kwenye hilo suala la kusaidiwa kimuziki... je, huyo Hawa alimuomba Diamond amshirikihse akakataa? Kama ndivyo, kwanini madai ya msingi yasiwe Diamond alikataa kufanya nae collabo pamoja na kwamba yeye alishirikiana nae lakini kinyume chake madai ya msingi yanaonekana msaada wa kifedha ndiyo issue kubwa kwake?
 
Diamond alitambulishwa na wimbo wa Nenda Kamwambie na baadae Mbagala kwahiyo si kweli hata kidogo kusema kwamba NItarejea ndio ulimtoa! Nenda Kamwambie ilitoka mwaka 2009 na huo wimbo ulimpatia tuzo tatu za Kilimanjaro na kuwa msanii wa kwanza kuzoa tuzo nyingi kwa wakati mmoja ambapo alichukua tuzo ya Best Upcoming Artist, Wimbo Bora wa R & B pamoja na Wimbo Bora wa Mwaka!
 
Haya wale wabishi wote link hio hapo juu angalieni video na mje mfute kauli zenu kuweni wafuatiliaji wa mambo kama hamuwezi kaeni kimya dada huyo hataki kusaidiwa kimaisha anataka support kimziki

Umenena kaka
 
Haya wale wabishi wote link hio hapo juu angalieni video na mje mfute kauli zenu kuweni wafuatiliaji wa mambo kama hamuwezi kaeni kimya dada huyo hataki kusaidiwa kimaisha anataka support kimziki

Mkuu public sympathy haitakaa imsaidie hata siku moja katika maisha yake

Anahitaji sapoti gani zaidi ya ile aliyoipata kutoka kudhani anajua muziki hadi kuja kushirikishwa kwenye hit ya nitarejea?
Hiyo ilikua sapoti kubwa kuliko hata angelipwa milioni5
Diamond amemlipa Davido mamilioni ili apata apate wigo afrika na akatumia nafasi

Vannesa mdee hakulipwa hata sent moja lakini ushiriki wake ulimtambulisha na akatumia nafasi leo hii v money habari nyingine


Ni upumbavu mkubwa kumtaka chibu eti aendelee kumtunza kisa tu walifanya naye nitarejea na alisex naye
We unadhani kasex na wangapi bana

Msichojua kuhusu Hawa ni kwamba hawa ni teja aliyetumia umaarufu wa nitarejea vibaya kwa kujifanya classic kushinda viwanja na starehe badala ya kukaza kwenye sanaa
Ametoa single ngapi kusema alijitahidi kimuziki zaidi ya hii ya majuzi ambayo hakuna hata mtu anaijui na tayari alishakua teja la kutupwa

Watanzania tunatatizo kubwa la kupenda kutafuta sababu za kushindwa kwetu kimaisha
Ooh baba hakunisomesha, ooh ngwea alikufa sababu clouds walimchanganya, oooh fulani ananiroga kimuziki nk nk

Kama nitarejea ilimuharibia maisha yake basi huo ni upumbavu wake mwenyewe sababu badala ya kutumia nafasi hiyo kujikomboa yeye akaitumia kujikwamisha na starehe, sasa hapo alaumiwe nani?
Ni sawa na upewe mtaji wa milioni 100 halafu uzichezee na zikuingize matatizoni kisha uanza kumlaumu aliekupa huo mtaji

Kama anadhani anakipaji wadau wapo wengi tu, lakini kiukweli sio fair kukaa unalialia miaka yote ooh nitareja imenilostisha wakati ilikua chance yako ya kutoka na ukaichezea
Hivi sasa huyu dada ni teja kubwa na pombe zake ni gongo viroba na konyagi
Amevurugwa kama wanawake wengine tu hapa tz ambao wanavyrugwa na maisha kwa ujinga wao lakini wanatafuta sababu za kuzalishwa na kukimbiwa na mabwana
Anachojaribu kufanya Hawa ni kuaminisha watu mafanikio ya Chibu yanauhusiano na kufeli vibaya kwa maisha yake
Kama anadhani hiyo itamsaidia basi na tumtakie kila la heri kwenye mkakati wake huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…