Kwa Mkapa, Mkwere na JPM, mpaka per diem zao kwa siku zilikuwa wazi, sijui usiri upi unazungumzia mkuu.Kuna Siri kubwa sana ndani ya nchi yetu. Mshahara wa Rais na marupurupu yake ni siri. Mawaziri. Wabunge, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, DEDs etc wote hawa mishahara yao ni siri kubwa na wengi wao hawalipi hata senti moja ya kodi.
Mshahara wa kisheria haushushi kwa kutamka unashushwa kisheria mbona hatujasikia kuna sheria ya mabadiliko ya mshahara wa raisiNaomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Uliona ule msafara wake achilia mbali usiojulikana. Unakumbuka matumizi ya matibu nje ya nchi yaliongezeka mara dufu kipindi chake ambacho alitwambia abadhibiti watumishi kutibiwa nje ya nch?Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Kodi ipi inazungumzia!? Maana PAYE ni kwa wafanyakazi pekee.. VAT mtoa huduma, muuza budhaa na manunu bidhaa/huduma..
SahihiKwani Rais sio mtumishi?
Das? DC sio watumishi?Why hawalipi PAYE?
Hao wote hawalipi kodi..
Hata mshahara wa askofu unatakiwa kukatwa PAYE..wa Imam vile vile..
Bodaboda wanatakiwa wakupe Risiti za efd..
Madalali wa nyumba..