The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,674
- Thread starter
- #41
Anaelewa hata sheria ya kodi ikoje sasa
tukiweza URASIMISHAJI
Na vipato vikajulikana ni starting point nzuri
Serikali haipo Tu serious..
Anatakiwa awepo afisa Kodi kila kata..
Wanatoa leseni na kufatilia..
Eneo la kata ni dogo sana
Atawajua wote..
Kingine tax returns owe kwa kila mtu
Hii itasababisha kila mtu adai risiti na Ku file return...
Ukiingia supermarket kununua pipi moja unapewa risiti..why ashindwe muuza chips?