Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

Hawa wote hawalipi KODI hapa Tanzania

Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?

Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.

Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Uliwahi kuona hati ya mshahara Rais akilipwa hiyo milioni 35? 😂😂😂
 
Jiwe alikua muongomuongo mshahara wa kisheria haushushi kwa kutamka unashushwa kisheria mbona hatujasikia kuna sheria ya mabadiliko ya mshahara wa raisi
Julius alishusha na kutumia sehemu ya mshahara wake kwenye harakati za ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa
 
Mie nilikuwa sijawahi kusikia popote pale. Mshahara wa Rais wa $192,000 kwa mwaka nimeujua kupitia vyombo vya habari vya nje. Humu swali hilo la mshahara wa Rais, Wabunge na Mawaziri halikupata kujibiwa kwa uhakika.

Kwa Mkapa, Mkwere na JPM, mpaka per diem zao kwa siku zilikuwa wazi, sijui usiri upi unazungumzia mkuu.
 
Uliwahi kuona hati ya mshahara Rais akilipwa hiyo milioni 35? 😂😂😂
Kiongozi, unataka kunianzisha uchunguzi kimasihara sihara hivi hivi yani😅, kama wewe ni mtu wao wa ndani, nikukumbushe tukio moja, namba moja fulani alikuwa anasafiri, dereva wake wa angani hakuwa na pasi ya kusafiria, namba akiwa kwenye basi ndo pasi inashughulikiwa, nini kilitokea?

Stori za kwenye gazeti la Sani, usichukulie serious boss😂
 
Jiwe hakushusha mshahara wake alisema mshahara wake ni milioni 9 na kutuhakikishia angeweka salary slip yake hadharani lakini hakufanya hivyo.

Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?

Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.

Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
 
Mie nilikuwa sijawahi kusikia popote pale. Mshahara wa Rais wa $192,000 kwa mwaka nimeujua kupitia vyombo vya habari vya nje. Humu swali hilo la mshahara wa Rais, Wabunge na Mawaziri halikupata kujibiwa kwa uhakika.
Kweli mkuu, na mi nilisikia sikia tu kwenye vijiwe vya kahawa, wakisema mkwere alitafuna sana per diem, yeye na ubavu wake, nikasema hii inawezekanaje sasa! Mwisho nikasema, stori za vijiweni sio za kutilia maanani aisee.
 
Jiwe hakushusha mshahara wake alisema mshahara wake ni milioni 9 na kutuhakikishia angeweka salary slip yake hadharani lakini hakufanya hivyo.
Wanavyosema kijiweni, kama mtangulizi wake alikuwa akipata zaidi ya hiyo, kwanini kwake ishuke? Lengo la kutangaza kupokea 9m ilikuwa ni nini?

Wakazidi kusema, kama angeendelea kupokea ile ilioachwa na mtangulizi, maana yake wastaafu wote wangekuwa wanapata 80% ya mshahara wake ambayo aliona ni kubwa sana bila sababu za msingi hivyo akaamua kushusha ili kupunguza zile ziendazo kule kwingine.

Stori za wanywa kahawa hizi.
 
Haikuwa kweli na akaamua kupotezea kwa sababu mitandaoni watu walisubiri kwa hamu kuu kuiona hiyo salary slip ya 9 millions.

Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..

Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..

1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..

Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.

Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..

Something has to be done....
Unamaanisha PAYE?

Labda kwakua hakuna mikataba ya kazi ndio maana ni mgumu kulipishwa kodi...

Lakini tunalipia kwenye huduma na bidhaa kwa lile ongezeko la thamani ya kodi (VAT)
Mimi nipo kwenye kundi lenye ajira isiyo rasmi. Yaani naganga njaa
 
Mimi naongea Sana na bodaboda
Wengi wanaingiza kuanzia elfu 40 daily

Why wasilipe kodi?Kama wenye mishahara ya laki nnne Tu wanakatwa??
Wachoma chips je?wauza matunda nk
Machinga ni kundi hiiiiii i wish i could be CG TRA!

Halipii cha fremu wala nini
Free spots kwny potential areas
Hawalipi hata mia
 
Unamaanisha PAYE?

Labda kwakua hakuna mikataba ya kazi ndio maana ni mgumu kulipishwa kodi...

Lakini tunalipia kwenye huduma na bidhaa kwa lile ongezeko la thamani ya kodi (VAT)
Mimi nipo kwenye kundi lenye ajira isiyo rasmi. Yaani naganga njaa

Nna kijana namjua anauza chips
Faida daily ni elfu 80 Hadi laki..
Sasa na yeye anajiita mganga njaa kama wawe wakati kuna walimu Wana mishahara ya laki nne kwa mwezi wanakatwa Kodi
 
Haikuwa kweli na akaamua kupotezea kwa sababu mitandaoni watu walisubiri kwa hamu kuu kuiona hiyo salary slip ya 9 millions.
Wanasema haitakaa iwezekane slip ya namba moja ionekane hadharani, kitu pekee wasichoweza kuzuia ni kauli anazoweza kuzitoa namba moja, vingine vingi viko ndani ya uwezo wa taasisi, na watamuongoza na hata kulinda taasisi zaidi kuliko mtu pale inapobidi, hapa sasa nikaona kama wanywa kahawa wana reason ingawa ikabakiwa kuwa ni stori tu za kitaa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanavyosema kijiweni, kama mtangulizi wake alikuwa akipata zaidi ya hiyo, kwanini kwake ishuke? Lengo la kutangaza kupokea 9m ilikuwa ni nini?

Wakazidi kusema, kama angeendelea kupokea ile ilioachwa na mtangulizi, maana yake wastaafu wote wangekuwa wanapata 80% ya mshahara wake ambayo aliona ni kubwa sana bila sababu za msingi hivyo akaamua kushusha ili kupunguza zile ziendazo kule kwingine.

Stori za wanywa kahawa hizi.
Lakini akaona bora awajengee mijumba ya kufuru ili na yeye akiondoka aweze kujengewa au siyo
 
Back
Top Bottom