Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Uliwahi kuona hati ya mshahara Rais akilipwa hiyo milioni 35? 😂😂😂Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Hao bodaboda na daladala hizo shilingi 100/lita wanazokatwa ni za mikojo au wanzuki?
unaweza kutuwekea kiwango walichokuwa wanachotewa hapa ?Kwa Mkapa, Mkwere na JPM, mpaka per diem zao kwa siku zilikuwa wazi, sijui usiri upi unazungumzia mkuu.
Julius alishusha na kutumia sehemu ya mshahara wake kwenye harakati za ukombozi wa nchi za kusini mwa AfricaJiwe alikua muongomuongo mshahara wa kisheria haushushi kwa kutamka unashushwa kisheria mbona hatujasikia kuna sheria ya mabadiliko ya mshahara wa raisi
Kwa Mkapa, Mkwere na JPM, mpaka per diem zao kwa siku zilikuwa wazi, sijui usiri upi unazungumzia mkuu.
Kiongozi, unataka kunianzisha uchunguzi kimasihara sihara hivi hivi yani😅, kama wewe ni mtu wao wa ndani, nikukumbushe tukio moja, namba moja fulani alikuwa anasafiri, dereva wake wa angani hakuwa na pasi ya kusafiria, namba akiwa kwenye basi ndo pasi inashughulikiwa, nini kilitokea?Uliwahi kuona hati ya mshahara Rais akilipwa hiyo milioni 35? 😂😂😂
Naomba kujua huyu namba moja aliyepo analipwa ngapi kama basic salary ili tujue tunaweza vuna sh ngapi kama kodi?
Nakumbuka Mkwere aliondoka akiwa na mshahara wa 35m kwa mwezi, Jiwe akaushusha hadi 9m.
Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Kweli mkuu, na mi nilisikia sikia tu kwenye vijiwe vya kahawa, wakisema mkwere alitafuna sana per diem, yeye na ubavu wake, nikasema hii inawezekanaje sasa! Mwisho nikasema, stori za vijiweni sio za kutilia maanani aisee.Mie nilikuwa sijawahi kusikia popote pale. Mshahara wa Rais wa $192,000 kwa mwaka nimeujua kupitia vyombo vya habari vya nje. Humu swali hilo la mshahara wa Rais, Wabunge na Mawaziri halikupata kujibiwa kwa uhakika.
Wanavyosema kijiweni, kama mtangulizi wake alikuwa akipata zaidi ya hiyo, kwanini kwake ishuke? Lengo la kutangaza kupokea 9m ilikuwa ni nini?Jiwe hakushusha mshahara wake alisema mshahara wake ni milioni 9 na kutuhakikishia angeweka salary slip yake hadharani lakini hakufanya hivyo.
Wanavyosema kijiweni, kama mtangulizi wake alikuwa akipata zaidi ya hiyo, kwanini kwake ishuke? Lengo la kutangaza kupokea 9m ilikuwa ni nini?
Wakazidi kusema, kama angeendelea kupokea ile ilioachwa na mtangulizi, maana yake wastaafu wote wangekuwa wanapata 80% ya mshahara wake ambayo aliona ni kubwa sana bila sababu za msingi hivyo akaamua kushusha ili kupunguza zile ziendazo kule kwingine.
Stori za wanywa kahawa hizi.
Unamaanisha PAYE?Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Anaelewa hata sheria ya kodi ikoje sasaWewe tumia akili..
Mtu mwenye pikipiki binafsi na bodaboda sawa?.
Wao wanaingiza kipato ..kipato Chao Kodi inakatwa wapi?
Kwa hiyo Uber na madereva taxi wasilipe kodi sababu ya Kodi ya mafuta?
Wachoma chips je?wauza matunda nkMimi naongea Sana na bodaboda
Wengi wanaingiza kuanzia elfu 40 daily
Why wasilipe kodi?Kama wenye mishahara ya laki nnne Tu wanakatwa??
Unamaanisha PAYE?
Labda kwakua hakuna mikataba ya kazi ndio maana ni mgumu kulipishwa kodi...
Lakini tunalipia kwenye huduma na bidhaa kwa lile ongezeko la thamani ya kodi (VAT)
Mimi nipo kwenye kundi lenye ajira isiyo rasmi. Yaani naganga njaa
Wanasema haitakaa iwezekane slip ya namba moja ionekane hadharani, kitu pekee wasichoweza kuzuia ni kauli anazoweza kuzitoa namba moja, vingine vingi viko ndani ya uwezo wa taasisi, na watamuongoza na hata kulinda taasisi zaidi kuliko mtu pale inapobidi, hapa sasa nikaona kama wanywa kahawa wana reason ingawa ikabakiwa kuwa ni stori tu za kitaa.Haikuwa kweli na akaamua kupotezea kwa sababu mitandaoni watu walisubiri kwa hamu kuu kuiona hiyo salary slip ya 9 millions.
Lakini akaona bora awajengee mijumba ya kufuru ili na yeye akiondoka aweze kujengewa au siyoWanavyosema kijiweni, kama mtangulizi wake alikuwa akipata zaidi ya hiyo, kwanini kwake ishuke? Lengo la kutangaza kupokea 9m ilikuwa ni nini?
Wakazidi kusema, kama angeendelea kupokea ile ilioachwa na mtangulizi, maana yake wastaafu wote wangekuwa wanapata 80% ya mshahara wake ambayo aliona ni kubwa sana bila sababu za msingi hivyo akaamua kushusha ili kupunguza zile ziendazo kule kwingine.
Stori za wanywa kahawa hizi.