Anaelewa hata sheria ya kodi ikoje sasa
tukiweza URASIMISHAJI
Na vipato vikajulikana ni starting point nzuri
ChiefUnamaanisha PAYE?
Labda kwakua hakuna mikataba ya kazi ndio maana ni mgumu kulipishwa kodi...
Lakini tunalipia kwenye huduma na bidhaa kwa lile ongezeko la thamani ya kodi (VAT)
Mimi nipo kwenye kundi lenye ajira isiyo rasmi. Yaani naganga njaa
Wasambaziwe EFD mauzo yajulikaneSerikali haipo Tu serious..
Anatakiwa awepo afisa Kodi kila kata..
Wanatoa leseni na kufatilia..
Eneo la kata ni dogo sana
Atawajua wote..
Kingine tax returns owe kwa kila mtu
Hii itasababisha kila mtu adai risiti na Ku file return...
Ukiingia supermarket kununua pipi moja unapewa risiti..why ashindwe muuza chips?
Wakulima woteIfike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Ni jambo ambalo halikuzungumzwa kabisa pale kijiweni, hata hivyo pengine alikuwa na nia njema ya kuagana nao mazima baada ya kuwapa nyumba hizo, pengine labda.Lakini akaona bora awajengee mijumba ya kufuru ili na yeye akiondoka aweze kujengewa au siyo
Elimu pia ni muhimu. Ni watanzania wangapi wana elimu ya kodi?Chief
Kuna Income Tax
Na VAT
VAT kila mtanzania analipa
PAYE ajira rasmi wanalipa
Income Tax msio ajira rasmi ndo jukumu lenu
Ila kulipa hamtaki
Huduma nzuri za umma mnataka
hata hii ya simu Mwigulu sijui aendelee kubana tu mana hamna avenue nyingine fasta kuwapata
halafu asilimia 3 wanabebewa bango wawalipie asilimia 97 kodi. Na kuna haja sasa ya kupunguza ukubwa wa taasisi zote za umma. Wanatumia hela nyingi. Technology can make alot of those works redudant. Kwanini haitumiki??Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Elimu hata mkipewa mtakubali sasa?Elimu pia ni muhimu. Ni watanzania wangapi wana elimu ya kodi?
Kwa mfano mimi hapa ndio kwanza napata kufahamishwa kuwa kuna income tax. Nilikua siijui. Wakulaumiwa sio wananchi. Ni viongozi waliopewa nafasi za kutuongoza. Hawatoi elimu za mambo ya muhimu kama haya
Hiyo ya simu haimuumizi muuza chips pekee. Inawaumiza sana hao wafanyakazi wanaokatwa PAYE zaidi.Chief
Kuna Income Tax
Na VAT
VAT kila mtanzania analipa
PAYE ajira rasmi wanalipa
Income Tax msio ajira rasmi ndo jukumu lenu
Ila kulipa hamtaki
Huduma nzuri za umma mnataka
hata hii ya simu Mwigulu sijui aendelee kubana tu mana hamna avenue nyingine fasta kuwapata
Wingi wa Taasisi sio tatizo nchi ni Taasisihalafu asilimia 3 wanabebewa bango wawalipie asilimia 97 kodi. Na kuna haja sasa ya kupunguza ukubwa wa taasisi zote za umma. Wanatumia hela nyingi. Technology can make alot of those works redudant. Kwanini haitumiki??
Mfano sielewi hizi tripu zisizo isha za Dodoma Dar kwa watumishi wa umma. Nyingi hazina sababu na ni mzigo mkubwa sana kwa walipa kodi.
Wananchi tunataka maendeleo. Tusifanye tena utani kwenye kutafuta maendeleo. kama kujibana, iwe kwetu sote kama watanzania, hata wale waliopewa madaraka. tanzania ni yetu sote tusijipendelee
Nyie endeleeni kulipa tu tutakutana mbele ya safariElimu hata mkipewa mtakubali sasa?
Na Hayati alikua ndo no2 kuvunja sheria za Kodi
Kodi elfu 20 kwa mwezi ni sheria gani hio.?
leo machinga utamgusa alipe kma mauzo yake?.
hawajui the pain
Cheap thinking
Ila kuna point itafika tuu
Na hivi kafariki
Kiama kinakuja
kutojua sheria sio excuse
mtu yoyote unaepata kipato halali unapaswa kulipa kodi
Ni kweliHiyo ya simu haimuumizi muuza chips pekee. Inawaumiza sana hao wafanyakazi wanaokatwa PAYE zaidi.
Alafu badala ya kujenga, hizi tozo zinaenda kuua mzunguko wa miamala kwa ujumla kwenye makampuni ya simu.
Unajua matokeo yake, makampuni yatapata hasara na serikali haitakusanya kodi iliyozoea kukusanya kutoka kwenye hiyo miamala....
Kodi au tozo inatakiwa ziwe rafiki. Kama tozo za kwenye luku. Hakuna mtu analalamika. Ni affordable na zinalipika. Lakini hizi za miamala hapana. Kwanza watu wanabuni mbinu mpya za kuzikimbia
Mtu hutaki EFD usipewe hicho kizimba
Mtu anauza chips kilocation kizuri hatari kulipia hataki
Govt ingegawa EFD hata bure kwenye vibanda vyao mumo humo
Kuna kazi nyingine hazistahili kuwa mzigo wa walipa kodi. lazima restructuring iwepo. wabunge 400???Wingi wa Taasisi sio tatizo nchi ni Taasisi
tatizo ni nchi ina watu wengi
Wanajishughulisha ila kodi hawalipi
Boss kasema kitu kizuri
Afisa Kodi wa Kata
Raia wa Kata husika hamchomoki!
Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....
Kuna kazi nyingine hazistahili kuwa mzigo wa walipa kodi. lazima restructuring iwepo. wabunge 400???
AU tuseme:"Hao ndio Kaisari mwenyewe"!Hao 13 NA 14 ndo wawe mstari wa mbele kupeleka kwa Kaizari vilivyo vya Kaizari
Wanajeshi tiss na polisi je,?Ifike mahali tujadili uhalali wa kundi kubwa la wasiolipa Kodi yeyote ..halafu hao hao ndo wako mbele kuongeza Kodi kwa wananchi...kwanza hawa nap walipe Kodi kabla hawajaongeza Kodi yeyote ile..
Hii ni orodha ya wasio lipa kodi Tanzania..
1. Rais wa Tanzania
2. Makamu wa Rais
3. Waziri Mkuu
4. Mawaziri wote
5. Ma Naibu waziri wote.
6. Wabunge wote
7. Spika wa Bunge
8. Wakuu wa Mikoa
9. Wakuu wa Wilaya
10. Ma RAS
11. Ma DAS.
12. Majaji wote..
13. Maaskofu na Makanisa yote
14. Misikiti na BAKWATA
15. Wamachinga wote
16. Boda Boda wote
17. Wauza Chips wote.
18. Wamiliki Daladala
19. Madereva Daladala, makonda wote
20. Madalali wa magari, Nyumba wote
21. Vyama vya siasa vyote..
Orodha ni ndefu mno ya watu wasio lipa kodi kabisa kwa vipato vyao.
Huku wanaokamuliwa.. watumishi na wafanyabiashara wenye leseni na maduka rasmi wanakamuliwa kupita maelezo..
Something has to be done....