Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

Ndugu walikuwa sahihi .

Hiyo mwanamke alikuwa jambazi tu, tena usikute hata hiyo mtoto sio damu yao.
 
Mali anazozikuta mke kama ulitafuta mwenyewe zinaingia kwenye mgao

Mali ambazo hazihusiki ni Mali za kurithi au kama ulipewa zawadi(grants) na mtu

Rejea sheria vizuri
Hujui kitu, mali ulizotafuta mwenyewe haziingii kwenye mgao. Shule ulienda kusoma ujinga?
 
Ivi mgawanyo wa Mali ni mpka muwe mlifunga ndoa au hata kama mlizaa bila ndoa?

Na je kama mlipata watoto maybe wawili inakuaje kwenye malezi means makao ya watoto kati ya hizi pande mbili.
Mpaka ndoa kuzaa unaweza zaa hata na watu 60
 
Ivi mgawanyo wa Mali ni mpka muwe mlifunga ndoa au hata kama mlizaa bila ndoa?

Na je kama mlipata watoto maybe wawili inakuaje kwenye malezi means makao ya watoto kati ya hizi pande mbili.
Kwa sheria za Tz mkiishi miaka miwili na majirani wakiwatambua kama mke na mume tayari sheria inawatambua hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…