Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

Hawakumpenda mke wa kaka yao matokeo yake hawawezi tena kumuona mtoto, ndoa inavunjika na mali zinaenda kupigwa pasu kwa pasu

Ni upande wa mume ndio wenye matatizo, ndugu zake kwa miaka takribani miwili hawampendi mke wa kaka yao, kwa makadirio ni kwamba kaka yao ana kazi nzuri na biashara zake, uchumi upo stable na mafanikio hayajifichi haya yanaonekana wazi kabisa, ni watu wa Mbeya huko (Mbeya ina makabila mengi)

Sijui kama kulikuwa na intervation yao lakini kwa nyumba ikawa ni vurugu mechi, mke akaamua kuondoka pamoja na mtoto.

Mke nae kaona yaishe tu, Ni msomi mwenye degree yake anaejua divorce procedures na suala la kugawana mali, Hapo sasa kwenye kugawana mali kumekuwa na mzozo mkubwa sana wa ndugu wa upande wa mume kuchukia endapo jambo hilo litafanyika.

Mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote kwa pupa, wamepoteza mtoto wa kaka yao, ndoa ya kaka yao na mali za kaka yao zinaenda kutandikwa pasu kwa pasu.
Ndugu walikuwa sahihi .

Hiyo mwanamke alikuwa jambazi tu, tena usikute hata hiyo mtoto sio damu yao.
 
Mali anazozikuta mke kama ulitafuta mwenyewe zinaingia kwenye mgao

Mali ambazo hazihusiki ni Mali za kurithi au kama ulipewa zawadi(grants) na mtu

Rejea sheria vizuri
Hujui kitu, mali ulizotafuta mwenyewe haziingii kwenye mgao. Shule ulienda kusoma ujinga?
 
Ivi mgawanyo wa Mali ni mpka muwe mlifunga ndoa au hata kama mlizaa bila ndoa?

Na je kama mlipata watoto maybe wawili inakuaje kwenye malezi means makao ya watoto kati ya hizi pande mbili.
Mpaka ndoa kuzaa unaweza zaa hata na watu 60
 
Ivi mgawanyo wa Mali ni mpka muwe mlifunga ndoa au hata kama mlizaa bila ndoa?

Na je kama mlipata watoto maybe wawili inakuaje kwenye malezi means makao ya watoto kati ya hizi pande mbili.
Kwa sheria za Tz mkiishi miaka miwili na majirani wakiwatambua kama mke na mume tayari sheria inawatambua hivyo,
 
Back
Top Bottom