Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Katuaibisha wachaga, kenjo ngikuwie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ninaloliona kwako na kwa mabinti wengi kwa sasa ni kukosa akili ya kujitambua.Afu akitaka kuchart na mimi atumie bando la nini??
Inauma unatumiwa pesa na mtu ambae humtegemei afu bebi lako linakuchartishaa tu[emoji1787]
Hilo ndilo tatizo la waafrika! Kwa nini apewe hela? Kwani mapenzi ni pesa? Anataka alipwe kumpenda mtu? kwani wanaposex yeye hawa haenjoy? Kama unataka uwe unapewa pesa sasa ujuwe kuwa wewe pia ni whore kama whore wengine tafauti yako ni kuwa una mteja mmoja tu! Kama unataka upewe pesa si bora kwa mwanamme awe anatafuta kahaba kila anapotaka kusex? Tena atakuwa na advantage kama kila siku anapata k tafauti, hakuna kuulizwa umetoka wapi au hiyo lipstick shingoni amekuapa nani? Hukasiriwi ukimwaga mwanzo au haraka haraka etc etc.Anakupa ela?
Huyu mwengine tena nai issue ya pesa! Kwanini wanawake wanaona ni lazima wapewe pesa na wapenzi wao? Kwani mnapoingia mzigoni huwa wanawake hawa enjoy au wanadhani sex ni upande mmoja tu na wao wanatoa huduma ya mahali pa mwanamme kumwaga tu?Anakutimizia pesa?ya kitandani?😅 et mumy
Kuna mambo sio hadi akushirikishe maana pengine hata hajui namna ya kukushirikisha ni wewe kujiplus. Mfano unakwenda kwake kuna vitu utaona hana kwann usianze kuhimiza awe navyo.Sasa kama mtu hakushirikishi mambo yake unaweza kuweka ushauri gani nianze tu kutoa ushauri bila kujua mwenzangu mambo anayoyafanya si nitaonekana nina kiherehere
Na kuhusu kumpendaa kweli mwanzo nilimpendea hela na unajua sie wadada mapenzi huja baadae so for the first nilipenda hela
But finally nampenda yeye ukitoa hizo hela maana nikisema nampenda kwa hela basi ningekuwa nishamuacha kwasababu hanipi pesa…. Ila nilishaacha kupenda pesa yake kwasababu ukitoa hiyo kasoro ya kutokuwa romantic na kutokunihudumia yupo vizuri hajawai nitukana kunipiga kunisema vibaya zaidi zaidi huwa ananishauri mambo ya maendeleo yangu
So ha deserve kupendewa hela ni mtu smart tu
Na mwengine, ndio maana wanawake wa Tanzania mnadharauliwa na kuteswa na wanaume zenu, hamjitegemei kabisa na mnaona K zenu ndio uchumi wenu. Be independent ladies na just enjoy men companions and sex!!!!!![emoji3][emoji3][emoji3]
Anakwambia kila siku hela ngumu
Sasa kwan wewe unataka pesa au unataka mahaba?HANIHUDUMII
PESA AKE AKINIPA NI MPK TUWE WOTE TENA VILE Mshamaliza maongezi kila mtu kwao ndio anatoa Ka elfu 20 [emoji57][emoji57]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kiufupsasa i ni bahili
achana na watoto wa mjini wataishia tu kukupeleka KFC kula kuku wakati huyo mchaga anaweza kukufanya ukawa Ata na biashara zako zikaja saidia watoto wako,na ndugu zako narudia tena mara ya mwisho komaa na mchaga muombe akufundishe kufanya biashara
Kwanza mwambie ukweli asipobadilika angalia moyo wako unasemaje, ukiendelea kukomaa nae kuchepuka ni nje nje maana hisia za x wako lazima zirudi.
Mwache mtafuta pesa huyo wewe zile tu.
Ndio uziache sasa
Hizo nasaha ashapewa ndio maana anajihami usijempiga na kitu kizito[emoji23]
Mangi mjanja hapo anapunguza idadi ya vizinga na hivi yuko mbali nawe anasave pesa zake mpaka mtakapokutana ndo uumchune
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakubwa tushakuelewa acha tufanye inatoshaa kwa sasa
LIPIA TANGAZO[emoji28]
Yuko busy na kutafuta Pesa.
Pole sana, ngoja wenyewe vichwa vibovu wakupate...
Poleh mamzumguuu hyo hakupendi analazmisha tu , em mchunguze labda anamwanamke mwingn