ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Haya mengine ya kuitw baby n the like ni kwa sababu hakupi pesa, ungepewa pesa sidhani kama mambo ya baby na sweetheart yangekuwa na nafasi.Hata wanaume huingia kwenye mahusiano ili wale mbususa so kila mtu na lengo lake la mahusiano[emoji41]
Acheni vijana watafute pesa, wakija kuwaoa watawahudumia, kwa sasa huduma mpate kwa wazazi wenu au ajira zenu.