Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Dhambi kubwa sana hii kufa na utamu wakati viumbe wengine tupo,[emoji23][emoji23] kwani kutafutana ni lazima jmn… sijamzimikia kihivyo kwamba asiponitafuta nitaumwa na Nilivyo mgumu huwaga situmi hata ka sms cha uko poa nasubiri mpk atume yeye na asipotuma mbona tunamaliza mwezi hatuongei… kiufupi Kama nimetuma sms moja hajajibu huwa siongezi ya pili hata amalize mwaka hajajibu
Ni bora nianzishe uzi Jf kuliko kujitumisha sms Kama mbwai na iwe mbwai nitakufa na utamu wangu [emoji23][emoji23]
🏃♂️🏃♂️🏃♂️Niko PM