Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Dah! Ukikaa nchale ukisimama nchale.Hapana ana chamba sana avungii [emoji12]
Muombe mtoko mkae pamoja mpige fantasy (rejea uzi wa sex fantasy uko humi) muulize na kumwambia namna gani unampenda na kumhitaji(rejea tamthilia za kifilipino). Pia mwambie vitu gani unamisi na unapenda kuvipata kutoka kwake. Tuanze hivyo.