Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But not all women wanaanza na pesa ni wale walionja ouvu na utamu wa pesa, those who have had multiple men have demonstrated this. There are men for love, shape, money, handsome, car, richiest, famous, family influence, etcSasa wewe unafikiri kuna mwanamke anaanzisha mahusiano na mwanaume akiwa anampenda wengi tunashawishika na kuvutiwa na kitu alichonacho mwanaume
Kupenda kunajaga baadae na kama tu mwanaume akiweza kumshawishi mwanamke wake..
sasa kama unashindwa kumshawishii kwa njia mbalimbali unafikiri mwanamke atakupendaje
Nilisema kabisa mwanzo sikuwa nikimpenda ndio nilipenda vitu vyakeeee kwasababu hata yeye alinitongoza kwa swaga za pesa…na hii sio kwamba alikuwa ananipa pesa nope alikuwa na mawazo ya kipesa pesa .. unajua namna mnavyotongozana kwa kujisifiaa
And finally nikampenda yeye kama yeye na sio vitu tena
Labda ujue hivi
Hela niliowai kuomba ni vocha tena nilimtega tu wala sikuwa na shida nayo nilikuwa nampima kama ni mtoaji ama bahiri .. Nimeomba kama mara3 hivi nikaona hajigusi nikaacha mpk Leo hii sijawahi omba hela yake zaidi zaidi akisema tuonane nasema sina nauli anatuma ndy hyo tu
Sasa kama sipati mapenzi yale seriously sipewi hela sasa hayo mahusiano ni ya nini?? ….
Kuna mapenzi ya kiafrika na mapenzi ya kizungu. Mapenzi ya kiafrika hakuna kubembelezana, hakuna kuitana majina ya mahaba wala hakuna kutaniana na mkienda sehemu mmoja anatangulia mwingine anafuatia baadae. Mkiwa mbele ya watu kabisaa ndiyo hakuna kuonyesha mnapendana na mwanamme anatakiwa awe mkali kwa mwanamke ili asidhaulike. Mkiwa kwenye shehemu mke anatakiwa awahi kurudi nyumbani. Kabla hujashutumu wanaume wa kichaga, tafuta msukuma au mkurwa au mwanamme yoyote wa kanda ya ziwa u-date naye ndiyo utajua kumbe wachaga wanajua mahaba.Amna siamini
Kuna mmoja alikuwa ananihadaa sana hata Kama haniiti darling
Alikuwa anapenda kuniita mke wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyu hata ukimwambia nakupenda kwenye sms anakujibu Asante Sanaa
Yaani ukiona katamka neno nakupenda ni kipindi mnagombana ndio atatamka au mkiwa pamojaa [emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41]
Mwanaume wa kibongo yeye ni kuwaza mbususu tu muda wote. Trust me. Japo mimi ni mwanaume lakini hii kasoro tuliyonayo ndiyo inafanya hata mahusiano mengi yasidumu sasa hivi. Kwake yeye mapenzi ni kutoa mbususu, akiona mwanamke ameona mbususu. Wengi hawajui kuwa sex ni moja ya viunganishi vingi tu mapenzi.Kwaivo tuache kuwa na wapenzi tukiwa mbali au tuache kazi tukatoe mbususa….
Kama sio muaminifu ni yeye bhn atajua mwenyewe na tabia zake mbaya
Hakika sikufahamu ila kwa huu ujumbe nimekupenda kabisa, naona kitu chema ndani yako, unastaili uwe na mtu aina yangu ambae ni coach, mentor, mwalimu kwenye mahusiano, ambae anakupa uhuru wa kushauri, kukosoa. Ur weakness can be easier to fix. Hata kama sio mimi ukipata mtu ambae utakuwa free kuchati nae sana uko good good
Hakupendi my wangu.
Pm please[emoji23][emoji23][emoji23] jingaaa
Kweli mimi ni wa kuitwa na watu Baki majina kama hayo
Na vodacome [emoji15][emoji15]
But not all women wanaanza na pesa ni wale walionja ouvu na utamu wa pesa, those who have had multiple men have demonstrated this. There are men for love, shape, money, handsome, car, richiest, famous, family influence, etc
Hahahaha waambie hao waelewe...hakuna muLazima kwanza wajenge kijijini halafu wajenge mjini.
Huo muda wa kuitwa baby utoke wapi
Mwanaume wa kibongo yeye ni kuwaza mbususu tu muda wote. Trust me. Japo mimi ni mwanaume lakini hii kasoro tuliyonayo ndiyo inafanya hata mahusiano mengi yasidumu sasa hivi. Kwake yeye mapenzi ni kutoa mbususu, akiona mwanamke ameona mbususu. Wengi hawajui kuwa sex ni moja ya viunganishi vingi tu mapenzi.
Pm please
Hahahaha waambie hao waelewe...hakuna mu
da wa kupoteza kwenye maswala ya pesaa bwashee
JamaniiiWasikudanganye,
Wote tupo ivo ivo, bora uyo alijitahidi miezi mitatu.
Mamazungu chukua hii usiumize kichwaWanaume wa kichaga wengi wako hivyo,wanafikiri pesa ndo kila kitu.Hawajui kwamba mtu anaweza kuachwa pamoja na hizo pesa zake.Labda wakioana wao kwa wao wanawezana,mke hayupo romatic,mme hayupo romantic,ni mwendo wa kutafuta hela tu.
Kwani msingi wa Hela ni kwamba wanawake mmeumbiwa ulafi au uchoyo, are you not born complete independent beings? Mfano una kazi na mshahara sasa pesa yako itafanya nini. Mfano umehisi nina pesa sasa si zangu kwani unajuaje ntakupa sh.ngapi na kwanini nikupe anywaySijui hilo ila najua kila mwanamke anashawishika kivyake… nimetolea mfano kwake tu kwamba alikuja na hizo swaga ila wapo wengine wanakuja na swaga za kawaida ila unamkubali sio kwa vile umempenda hapana unataka tu ujue ana nini yaani ndani ya swaga zake ana nini cha ziada
Tatizo mmekariri wanawake tunapenda hela ila ni kweli tunapenda ila sio kama mnavyowaza[emoji13][emoji13]
Wanaume wa kichaga wengi wako hivyo,wanafikiri pesa ndo kila kitu.Hawajui kwamba mtu anaweza kuachwa pamoja na hizo pesa zake.Labda wakioana wao kwa wao wanawezana,mke hayupo romatic,mme hayupo romantic,ni mwendo wa kutafuta hela tu.
He's out of love, that's normal...
Japo na uchaga unachangia kutokana na my lit experience...!
Kama unapenda mahaba...huyo hakufai.
Hahaa huamini??Mmh Hakuna kitu