Litro
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 1,080
- 2,248
Heeeee em kunywa maji shogangu ukaushe koo kwanza panik hiyo vipi maana kama ni tozo wote zinatutoza..hivi kuuliza ni ujinga? Umeona wapi nimesema anatakiwa kupewa ela?! Jamani mtu atunusuru mbona milembe wapo wazima sasa,,,mi nimeuliza swali labda nlimaanisha kama anampa ela hafai maana hiyo ni kumnunua so hana mapenzi wewe kukurupuka gani huko jmn kunyamaza nako ni akili mbona tunawaambia sana hamuelewiiiiiii wewe ni aina ya watu mnahitaji msaada wa haraka mental health is real deal dear
Hilo ndilo tatizo la waafrika! Kwa nini apewe hela? Kwani mapenzi ni pesa? Anataka alipwe kumpenda mtu? kwani wanaposex yeye hawa haenjoy? Kama unataka uwe unapewa pesa sasa ujuwe kuwa wewe pia ni whore kama whore wengine tafauti yako ni kuwa una mteja mmoja tu! Kama unataka upewe pesa si bora kwa mwanamme awe anatafuta kahaba kila anapotaka kusex? Tena atakuwa na advantage kama kila siku anapata k tafauti, hakuna kuulizwa umetoka wapi au hiyo lipstick shingoni amekuapa nani? Hukasiriwi ukimwaga mwanzo au haraka haraka etc etc.