mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #261
Hupendwii shoga bora uwe single usubiri wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hupendwii shoga bora uwe single usubiri wako
Mimi nmekuelewa aisee K imekua kitega uchumi na itaendelea kua hivyo now it very open for everyone to see kwenye pesa K hua haijifichi tumia wallet yako vizuri unawasosola hadi huwezi kuamini unachokionaNa mwengine, ndio maana wanawake wa Tanzania mnadharauliwa na kuteswa na wanaume zenu, hamjitegemei kabisa na mnaona K zenu ndio uchumi wenu. Be independent ladies na just enjoy men companions and sex!!!!!!
Afu kwenye contact zangu kuna mtu nimesave ilo jina lako [mention]Bufa [/mention] afu simjui ni nanii
Labda ni mimi 😎 ngoja nikutumie text msg
Wanaume ni wawindaji. mf rahisi: Kama ulishatega mtego wa panya utaelewa. Ukiwa unamtega utampa kitoweo mabalimbali utampa samaki .nk
Je,ukishamkamata nini kinatokea? Jinu unalo. [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]
Tarizo huja pale unapoanza comparisons...
Mimi nmekuelewa aisee K imekua kitega uchumi na itaendelea kua hivyo now it very open for everyone to see kwenye pesa K hua haijifichi tumia wallet yako vizuri unawasosola hadi huwezi kuamini unachokiona
Hio paragraph ya kwanza kama kuna ka ukweli hivii!!Sasa unataka mahaba halafu unakwenda olewa na mchagga au mkurya,au mjita unategemea nini?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikuelekeze, ukitaka mahaba yale ya akina Alejandro (alehandro) then tafuta mwanaume kutoka Mbeya, Tanga, Dar es salaam. Hapo uhakika wa kupata mahaba upo hao wengine wanakuwa na mambo yao yanayowapeleka katika mahusiano mahaba sio jambo lao hata kidogo.
Weeewe nani kasema?Sio wotee
😂😂😂😂 Ni wewe tu uchague upate raha ujanani halafu uzeeni uje kusumbua watoto ama uende na hiyo raha kidogo ya sasa halafu uzeeni uitwe bi mkubwa na wajukuu badala ya bibi.Kwaiyo nisubiri uzeeni 🥲🥲🥲
We kuwezaa
Weeewe nani kasema?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni wewe tu uchague upate raha ujanani halafu uzeeni uje kusumbua watoto ama uende na hiyo raha kidogo ya sasa halafu uzeeni uitwe bi mkubwa na wajukuu badala ya bibi.
Kwa sisi wachaga tunavyokutreat sasa hivi ujue utafaidi sana ukizeeka. Tunaandaa mazingira ya uzee ambao hatutaombaomba. Ukija Moshi utaelewa nachomaanisha. Wazee ndio wanamiliki sehemu kubwa ya biashara, nyumba nzuri na hata magari ya kifahari. Vijana bado tunapambana kutafuta.[emoji28][emoji28][emoji28] wanaume walivyo wa ajabu huwa wanarudi uzeeni ndo kujifanya wanamahaba
Hapa ndio ujue wanawake tunawahi kuzeeka ila wanaume wanawahi kuchokaa
Kwanini usiweke kikao nae ukaweka bayana malalamiko, mapendekezo, matamanio, hisia zako za kweli kwake. Je huwa unaomba ruhusu sambamba na taarifa ya udhuru?Nimekuwa na mahusiano na kijana kwa mwaka 1 na miezi 10 ila sijawahi kupata yale mahaba yenyewe. Ukitoa zile siku za mwanzo ni za mahaba, ile miezi 3 ya mwanzo.
Mfano kukuita majina mazuri mazuri like sweetheart, honey, mke n.k Yaani kiufupi hana matendo ya mahaba.
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Anaweza kukaa hata siku 3 hamjawasiliana na akikutafuta hamna hata stori.
Mwenzenu nimechoka natamani kupata mtu ambaye ana mahaba na mimi nifurahie.
Mpaka nimekumbuka Ex wangu alikuwa ananiita majina matamu hata kama ananidanganya.
Naombeni majibu-
- Ni tabia ya wanaume wa Kichaga?
- Ni Tabia ya mtu binafsi?
- Hanipendi?
Kwa sisi wachaga tunavyokutreat sasa hivi ujue utafaidi sana ukizeeka. Tunaandaa mazingira ya uzee ambao hatutaombaomba. Ukija Moshi utaelewa nachomaanisha. Wazee ndio wanamiliki sehemu kubwa ya biashara, nyumba nzuri na hata magari ya kifahari. Vijana bado tunapambana kutafuta.
Pia unavyoona hakupi mahaba wala usihofie hamna mahali anatoa hayo mahaba hata. [emoji23][emoji23]
Kwanini usiweke kikao nae ukaweka bayana malalamiko, mapendekezo, matamanio, hisia zako za kweli kwake. Je huwa unaomba ruhusu sambamba na taarifa ya udhuru?
Micro and Macro aspects za maisha mzijue. Kipi Kiko ndani ya uwezo na kipi kipo nje ya uwezo.
Maisha linganishi ndio sumu ya mwanamke kutoishi ndoa na mahusiano Kwa uaminifu. Mwanamke hana anachoshiba ni vichanga na vidudu tu.Amna siamini
Kuna mmoja alikuwa ananihadaa sana hata Kama haniiti darling
Alikuwa anapenda kuniita mke wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa huyu hata ukimwambia nakupenda kwenye sms anakujibu Asante Sanaa
Yaani ukiona katamka neno nakupenda ni kipindi mnagombana ndio atatamka au mkiwa pamojaa [emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41]
Unadhani tunajali kucheatiwa basi? Kikubwa we chepuka ila hakikisha haunidhalilishi wala hautumii pesa zangu kufanya hivyo.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamani jitahidinii basi mtachetiwaa shauri yenu