Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hapana ana chamba sana avungii [emoji12]
Dah! Ukikaa nchale ukisimama nchale.
Muombe mtoko mkae pamoja mpige fantasy (rejea uzi wa sex fantasy uko humi) muulize na kumwambia namna gani unampenda na kumhitaji(rejea tamthilia za kifilipino). Pia mwambie vitu gani unamisi na unapenda kuvipata kutoka kwake. Tuanze hivyo.
 
[emoji23][emoji23] unawezaje kumlazimisha mtu akuoe… ndio unamwambiaje “ Nioe naomba nioe “
Au nifundishee nimlazimishee
Mpe papa , 🤣🤣. Yapo mengi we men tunapenda respect 🙏
 
Kifupi wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano wakitafuta uhuru wa kiuchumi(financial security), wanapoikosa hiyo ndio mwanzo wa mengine mengi.
 
Dah! Ukikaa nchale ukisimama nchale.
Muombe mtoko mkae pamoja mpige fantasy (rejea uzi wa sex fantasy uko humi) muulize na kumwambia namna gani unampenda na kumhitaji(rejea tamthilia za kifilipino). Pia mwambie vitu gani unamisi na unapenda kuvipata kutoka kwake. Tuanze hivyo.

Sawa ngoja nijaribu hiyo
 
Kifupi wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano wakitafuta uhuru wa kiuchumi(financial security), wanapoikosa hiyo ndio mwanzo wa mengine mengi.

Hata wanaume huingia kwenye mahusiano ili wale mbususa so kila mtu na lengo lake la mahusiano[emoji41]
 
kama unampenda mbona unamtangaza huku huo utakuwa ni ulaghai na unafiki kwa Mangi

Nimemtangazajee nimepost picha yake au jina lake…. Ndio maana kuna fake id kama yako yangu na zingine

Hii story Ni fictional nyingi na hii ni Jf nimekuja kuomba ushaurii sijapeleka fb

Niwie radhi mkuu sijafungua code wala sijamtangaza mtu mimi [emoji41]
 
Anabadilika zikipita siku 3 anarudii kama zamani

Kuna siku tuligombana nikamwambia tuachane

Alinijibu “ Mapenzi kwake sio kipaumbele
Ni kama starehe tu yeye anawaza pesa hata nikimuacha haitomuuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Truth hurts. Ila hapo hupendwi
 
Malaya TU wewe , SEMA jamaa hatoi pesa kindezi ndo maaana unalialia.

Mwambieni mchaga uyo akazie hapohapo
 
Unaweza kumuaga kwenda mahali akakwambia sawa ila hakuulizi unaenda wapi na kufanya nini, kiufupi hana amshaamsha.
Hahaha..
Hivi hili nalo ni muhimu kimahaba?!
Siyo akiuliza kila kitu utasema unabanwa banwa sana?
 
Hivi yule mzee wa 50 hujamfata pm?
 
Back
Top Bottom