Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

But not all women wanaanza na pesa ni wale walionja ouvu na utamu wa pesa, those who have had multiple men have demonstrated this. There are men for love, shape, money, handsome, car, richiest, famous, family influence, etc
 
Kuna mapenzi ya kiafrika na mapenzi ya kizungu. Mapenzi ya kiafrika hakuna kubembelezana, hakuna kuitana majina ya mahaba wala hakuna kutaniana na mkienda sehemu mmoja anatangulia mwingine anafuatia baadae. Mkiwa mbele ya watu kabisaa ndiyo hakuna kuonyesha mnapendana na mwanamme anatakiwa awe mkali kwa mwanamke ili asidhaulike. Mkiwa kwenye shehemu mke anatakiwa awahi kurudi nyumbani. Kabla hujashutumu wanaume wa kichaga, tafuta msukuma au mkurwa au mwanamme yoyote wa kanda ya ziwa u-date naye ndiyo utajua kumbe wachaga wanajua mahaba.
 
Kwaivo tuache kuwa na wapenzi tukiwa mbali au tuache kazi tukatoe mbususa….

Kama sio muaminifu ni yeye bhn atajua mwenyewe na tabia zake mbaya
Mwanaume wa kibongo yeye ni kuwaza mbususu tu muda wote. Trust me. Japo mimi ni mwanaume lakini hii kasoro tuliyonayo ndiyo inafanya hata mahusiano mengi yasidumu sasa hivi. Kwake yeye mapenzi ni kutoa mbususu, akiona mwanamke ameona mbususu. Wengi hawajui kuwa sex ni moja ya viunganishi vingi tu mapenzi.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
 
But not all women wanaanza na pesa ni wale walionja ouvu na utamu wa pesa, those who have had multiple men have demonstrated this. There are men for love, shape, money, handsome, car, richiest, famous, family influence, etc

Sijui hilo ila najua kila mwanamke anashawishika kivyake… nimetolea mfano kwake tu kwamba alikuja na hizo swaga ila wapo wengine wanakuja na swaga za kawaida ila unamkubali sio kwa vile umempenda hapana unataka tu ujue ana nini yaani ndani ya swaga zake ana nini cha ziada

Tatizo mmekariri wanawake tunapenda hela ila ni kweli tunapenda ila sio kama mnavyowaza[emoji13][emoji13]
 
Ingekuwa ni hivyo basi msingekuwa mnawaacha wanawake mliowaweka kinyumba zaidi ya miaka 4 pika pakua afu mnaenda kuoa mwanamke wa miez 3
 
Wanaume wa kichaga wengi wako hivyo,wanafikiri pesa ndo kila kitu.Hawajui kwamba mtu anaweza kuachwa pamoja na hizo pesa zake.Labda wakioana wao kwa wao wanawezana,mke hayupo romatic,mme hayupo romantic,ni mwendo wa kutafuta hela tu.
 
Mamazungu chukua hii usiumize kichwa
 
Kwani msingi wa Hela ni kwamba wanawake mmeumbiwa ulafi au uchoyo, are you not born complete independent beings? Mfano una kazi na mshahara sasa pesa yako itafanya nini. Mfano umehisi nina pesa sasa si zangu kwani unajuaje ntakupa sh.ngapi na kwanini nikupe anyway
 
Wanaume wa kichaga wengi wako hivyo,wanafikiri pesa ndo kila kitu.Hawajui kwamba mtu anaweza kuachwa pamoja na hizo pesa zake.Labda wakioana wao kwa wao wanawezana,mke hayupo romatic,mme hayupo romantic,ni mwendo wa kutafuta hela tu.

Mmh hatari
 
He's out of love, that's normal...
Japo na uchaga unachangia kutokana na my lit experience...!
Kama unapenda mahaba...huyo hakufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…