Hawapo romantic au huyu hanipendi tu?

Hata wanaume huingia kwenye mahusiano ili wale mbususa so kila mtu na lengo lake la mahusiano[emoji41]
Haya mengine ya kuitw baby n the like ni kwa sababu hakupi pesa, ungepewa pesa sidhani kama mambo ya baby na sweetheart yangekuwa na nafasi.

Acheni vijana watafute pesa, wakija kuwaoa watawahudumia, kwa sasa huduma mpate kwa wazazi wenu au ajira zenu.
 
Mdogo wangu alianza mshirikisha mke wake mambo yake baada ya kumuoa, kabla ya hapo yule Dada alikua hashirikishwi chochote...dogo alinunua viwanja na kujenga bila binti kufahamu...now binti kila hatua anashirikishwa.
 
Kama unaweza wewe mchunie yeye awe anakutafuta na hata akikutafuta usimlalamikie kuwa mbona ulikuwa kimya sana ...piga stori za kawaida usiulize mambo yake biashara inaendaje wala familia yake acha akwambie mwenyewe. Pia usimlilie shida zako hata kama huna pesa komaa tu lazima atachanganyikiwa na kukuonea wivu kuwa umebadilika ghafla na atakutafuta mara kwa mara na kila kitu kitakaa sawa . Kikubwa jipende tu kuwa bize na mambo yako
BAADA YA HAPO UJE KUTOA MREJESHO.
 

Sawa ngoja nitumie njia yako
 
Nyie wanawake mbona mtatukondesha sana, kila saa tu niwe nasema Nakupenda, inakuwa kama adhabu sasa!
 
[emoji2][emoji2]sijasema ni ndogo ila sasa mpk mtakapo onana maybe after 4 month ama 3

Sasa mimi ninapokuwa nina shida ukimuomba asemi sikupi anasema anakupa ila hatoiii

Hata vocha hajawahi nitumia mpk nimeachaa tena Kumuombaa
Hamna mtu hapo dada kimbia zako hizo sio dalili nzuri mtu bahili hivyo wa kazi gani[emoji24]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Bora hapo alisema asante sana kuna mwingne unamwambia nakupenda anasema wacha wee yanini mapenzi sasa [emoji4]
 
Mkuu bora jamaa Kakimbia mwenyewe[emoji23] sasa hivi tafuta aliye romantic [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…