GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo magari, nyumba, pesa wanazo zitamani, lakini pia wanaomba kutatuliwa shida zao, tunashuhudia kuongezeka kwa wahubiri wanaojilimbikizia fedha na mali binafsi kutokana na sadaka na mauzo ya vitu mbalimbali vya hao watu wanyonge"Dkt.Philip Mpango - Makamu wa Rais wa Tanzania.
Chanzo: itvtz
Ni muda tu ila muda si mrefu mtazuiliwa na huu Utapeli wenu wa muda mrefu
Chanzo: itvtz
Ni muda tu ila muda si mrefu mtazuiliwa na huu Utapeli wenu wa muda mrefu