Haya akina Mwamposa, Mwacha na Wenzenu dalili ya Mvua ni Mawingu

Haya akina Mwamposa, Mwacha na Wenzenu dalili ya Mvua ni Mawingu

Inasikitisha sana,ila sisi wakristo tunatia sana aibu kwa baadhi ya mambo yanavyotokea kwenye makanisa yasiyo taasisi.........japo wanasiasa nao wanazitumia hela za hawa manabii wasaka maisha kwenye mishe zao za kampeni,ndiyo maana wanabaki active
 
Tatizo so akna mwamposa,tatzo ni nafsi ya mwanadan kutafta supernatural power.Yaan hata wakifungiwa hao manabii watu hawatakosa pa kutafta msaada wa dizain hiyo.Mtu alye thabit ktk iman sahih ktk Mungu hawez kuzfuata iman za miujza.
NB:wasio ambatana na manabii wala kuamin ktk Iman(ukrsto/uislm) wanajua wanatafta msaada pale akil zao za kibinadam znapofka mwisho.
 
Mungu yupo na anajibu maombi .. Manabii wa kweli wapo na manabii wa uongo pia wapo.. Muombe Mungu wako wewe kama wewe.. Nimepokea muujiza wangu kwa kusali na kuomba nikiwa kitandani kabla ya kupitiwa na usingizi.. Na nimejibiwa vile nilivyoomba.. Japo nimeomba kwa imani takriban miaka mitatu..
 
Wengi Wao Ambao Wanadanganyika Kirahisi na Hawa Manabii Wa Uwongo Ni kina Mama, Mungu Awape Macho ili Wastuke Wasiende Kwa Hawa Manabii Wa Mchongo
Kama umasikini utaendelea kama ulivyo sio rahisi kustuka, wataendelea kukamuliwa sababu ya umaskini wao na itachukua miaka mingi hili tatizo kuisha,ni kizazi hadi kizazi.
 
Sasa ccm inaingia vp, yn mpigwe huko kwa ujinga wenu afu mje mlalamikie ccm
Serikali ipo kwa ajili ya kulinda raia na mali zake, inapoona utapeli unaendelea na ikafumbia macho jua kwa namna moja au nyingine kuna namna inavyo faidika, mfano kwanini haifumbii macho kwenye utapeli wa elimu, hospital, pharmacy, vipodozi nk na ukibainika unachukuliwa hatua kali, lkn kwa manabii kimyaaaa!!
 
Serikali ipo kwa ajili ya kulinda raia na mali zake, inapoona utapeli unaendelea na ikafumbia macho jua kwa namna moja au nyingine kuna namna inavyo faidika, mfano kwanini haifumbii macho kwenye utapeli wa elimu, hospital, pharmacy, vipodozi nk na ukibainika unachukuliwa hatua kali, lkn kwa manabii kimyaaaa!!
Serikali ikiingilia kati mnaanza kushtumu serikali kuingilia imani zenu, kwan hukuona video za watu wakiilalamikia serikali n kwann imemfukuza kiboko ya wachawi wakat sio tapeli na wala hakuna aliyelazimishwa kutoa sadaka?

Yn mkipigwa huko ndo mnaanza kuilaumu serikali 😂 nyie kila siku mmejazana kwa Mwamposa halafu kikinuka ndo mnakuja kulialia 😂

Safi sanaa kiboko wa wachawi hakika uliifanya kazi yako vzr ya kuwanyoosha wapumbavu.
 
Niende kwa Mwamposa halafu niilaumu serikali? Umechanganya mambo mkuu.
Ngoja kinuke ndo utajua hujui.
Kwan kwa kiboko ya wachawi ilikuwaje, c mpaka watu wakawa wanailaumu serikali kwann wamemfukuza hy n kabla hajajipost kusherehekea laki tano zenu wapuuzi
 
Back
Top Bottom