Uko sahihi 100% Mkuu ila subiria kuambiwa una Pepo au Wivu na Wapumbavu anaowadanganya na kuwachuna Pesa zao.
..Na Raisi amekuwa akichangia shughuli za Mwamposa.
..sio mara moja RC Chalamila amehudhuria kanisani kwa Mwamposa na kudai anamuwakilisha Raisi.
..Sidhani kama Raisi atawa chenjia hivi karibuni.