GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uko sahihi 100% Mkuu ila subiria kuambiwa una Pepo au Wivu na Wapumbavu anaowadanganya na kuwachuna Pesa zao.Nawashangaa baadhi ya watu wetu. Hivi utakosa maarifa kiasi gani Hadi ukaombewe na Mposa?
Hata baada ya kupigwa na kitu chenye ncha Kali na kiboko ya wachawi bado mnamuamini huyu? Hata baada ya kejjeli na dharau nyingi za kiboko ya wachawi bado watu wanamiminika kuibiwa?
Jiulize , je huyu mtu ana familia au Ni mhuni wahedi, mmeshamuona mke wake na watoto?
Matapeli na wezi wakubwa hawa"Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo magari, nyumba, pesa wanazo zitamani, lakini pia wanaomba kutatuliwa shida zao, tunashuhudia kuongezeka kwa wahubiri wanaojilimbikizia fedha na mali binafsi kutokana na sadaka na mauzo ya vitu mbalimbali vya hao watu wanyonge"Dkt.Philip Mpango - Makamu wa Rais wa Tanzania.
Chanzo: itvtz
Ni muda tu ila muda si mrefu mtazuiliwa na huu Utapeli wenu wa muda mrefu
Hakika Mkuu.Matapeli na wezi wakubwa hawa
Sidhani kama watazuiliwa kwa Serikali hii ya CCM, labda CCM iwe imeondoka madarakani."Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo magari, nyumba, pesa wanazo zitamani, lakini pia wanaomba kutatuliwa shida zao, tunashuhudia kuongezeka kwa wahubiri wanaojilimbikizia fedha na mali binafsi kutokana na sadaka na mauzo ya vitu mbalimbali vya hao watu wanyonge"Dkt.Philip Mpango - Makamu wa Rais wa Tanzania.
Chanzo: itvtz
Ni muda tu ila muda si mrefu mtazuiliwa na huu Utapeli wenu wa muda mrefu
NakaziaSidhani kama watazuiliwa kwa Serikali hii ya CCM, labda CCM iwe imeondoka madarakani.
Tena imtoke masikioni.Kusikia Kwa kenge mpaka damu imtoke!
Dini zinapumbaza sana watu. Dini hufanya waumini wa flani ama wa dhehebu flani waamini kwamba waumini wa dhehebu ama mtu flani wanaibiwa ila wao hawaibiwi ila uhalisia ni kwamba wote wanaibiwa.Nawashangaa baadhi ya watu wetu. Hivi utakosa maarifa kiasi gani Hadi ukaombewe na Mposa?
Hata baada ya kupigwa na kitu chenye ncha Kali na kiboko ya wachawi bado mnamuamini huyu? Hata baada ya kejjeli na dharau nyingi za kiboko ya wachawi bado watu wanamiminika kuibiwa?
Jiulize , je huyu mtu ana familia au Ni mhuni wahedi, mmeshamuona mke wake na watoto?
Ukiona mtu mkubwa amealikwa ujue na maji ya kunywa hawakosi.Hao wanajipigia wajinga tu
Ndomana utawakuta kwenye
Mikutano yao,wanawaita wakuu wa mkoa mara spika wa bunge
Kuwa wageni yote kinga tu hiyo
Ova