Haya akina Mwamposa, Mwacha na Wenzenu dalili ya Mvua ni Mawingu

Hao wanajipigia wajinga tu
Ndomana utawakuta kwenye
Mikutano yao,wanawaita wakuu wa mkoa mara spika wa bunge
Kuwa wageni yote kinga tu hiyo

Ova
Wewe Jamaa una Akili (IQ Kubwa) hadi raha. Nakukubali sana kama siyo mno Mkuu. Nikikukubali amini kuwa uko Vyedi.
 
Taja Madhehebu yote ila siyo langu Takatifu la Mitume la Katoliki sawa? Na iwe mwanzo na mwisho. Hakuna kama Katoliki duniani.
 
Kizimkazi festival Kuhani Musa Richard Mwacha aliwakilisha Wakristo kwa umoja wao na kwa mara ya kwanza ibada ya jumapili na sadaka zake zilikuwa chini ya Kuhani mwingine.
Hii imekaaje?
 
Ulichomaliza ss mie hoi..kumbe wale wanaojiita wachokonozi wapo humu pia
 
Ila kwa kweli sadaka zimekuwa nyingi..usiombe mchungaji aite sadaka kwa aina zake..watumishi,mafundi,wafanyabiashara,bodaboda,wenye magari,madereva,wazaliwq wa kwanza,malast born,sadaka za kupata waoto,wanandoa,waliojenga,nk usiombe uangukie makundi yote mshahara wote unakabidhi kanisani..any way sadaka inayouma ndio inabaraka nyingi.
 
Katika Utapeli wa imani, Waumini ndio wenye kiu ya kutapeliwa!
Mkuu hakuna kitu hatari kwenye ustawi wa jamii na Taifa kwa ujumla kama kuwa na kundi kubwa la WAJINGA. UJINGA kama alivyotamka Mwl Nyerere miaka 60 iliyopita ni janga na adui mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…