Ndio maana wana akili kubwa...maana wao wanafikiria waifanyie nini nchi na dunia....nyie mnafikiria mtaifanyia nini Kilimanjaro. Hata huo utofauti huuoni?Hivi hao wote wameufanyia nini mkoa wao wa Bukoba? zaidi ya kujaa majigambo na ukabila?
Angalieni wenzenu Watu wa kilimanjaro licha ya kwamba hawajasoma sana angalia mkoa wao ulivyo.
Ni heri chizi mwenye faida kuliko Mwerevu asiye na faida.
Sio wanaume wa Dar hao...walikula mihogo na pweza miaka mingi mnooooWahaya wana akili sana hilo halina ubishi, ila umalaya sasa hapo ndiyo heshima yao inaposhuka
Hujui kuwa nyumba ya udongo kiafya ni salama zaidi kuliko ya matofali?Nimeifahamu bukoba kwanza kupitia danguro zao daresalama na pili kupitia tetemeko maana nyumba zao na hali zao za maisha ni ya chini sana. Nyumba za udongo, watu hawana afya...maskini...
Majanga ya asili yakikupiga hata uwe na akili kiasi gani lazima utarudi nyuma tu kimaendeleo. Umesahau MV Bukoba...Mnyauko...kushuka bei zao la kahawa...tetemeko la ardhi...HIV AIDS from Uganda...vita ya Kagera n.ksasa inakuwaje Kagera unakuwa ni mmoja wa mikoa masikini nchini pamoja na "vichwa" vyote hivi (kama ni kweli)??
Huyu nae anakuja na ushabikihivi kuna sehemu tamu kuishi hapa tz kama kilimanjaro?
Usiseme hivyo kama huna points nyamazaongezea n.a. majanga ya kimataifa yalianzia huko mfano juliana aka ukimwi,tetemeko la ardhi n.k
Wahaya wana akili sana hilo halina ubishi, ila umalaya sasa hapo ndiyo heshima yao inaposhuka
Ndivyo unavyojidanganya wachagga hawajasoma?Hivi hao wote wameufanyia nini mkoa wao wa Kagera zaidi ya kujaa majigambo na ukabila?
Angalieni wenzenu Watu wa kilimanjaro licha ya kwamba hawajasoma sana angalia mkoa wao ulivyo.
Ni heri chizi mwenye faida kuliko Mwerevu asiye na faida.