The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Asante kwa kuchangia!!!!!!!!Uzi wa wachaga ukute ushafika page ya 80 huko.
Yani hata hapa JF karihia nusu ya watumiaji ni wa huko.
Achana na sisi kaka, kwenye elimu tupo, kwenye biashara tupo.
NmekusomaUwepo wa Wakoloni karibu yao si ndo ukawafanya wakaitambua mapema ndugu au?
Tamu sana hiyo!!! we hupendi?
least= listsasa mbona mkoa wenu upo kwenye least ya umaskini Tz?
Na hospital za kumulikiwa na weusi apa tanzania Hubert Kairukiengineer wa kwanza Mtanganyika aliitwa Lwegalurila ndo mwanzilishi wa chuo cha Maji Ubungo
Dr wa binadamu wa kwanza Mtanganyika aliitwa Dk Kyaruzi alikua raisi wa kwanza Wa TAA
Kwa wasukuma sio kweli. Wasukuma wenye akili hawakuwa wengi sanaSio kwamba wao ni Intelligent bali wazungu waliweka makao yao huko na kuanzisha elimu mapema zaidi ya sehemu zingine lkn pia angalia kwa Wachaga na Wanyakyusa........hilo suala la kuongeza maksi ilikuwa kawaida hata Usukumani hakutaka wasukuma wengi waende sekondali alipandisha hivyo akihofia kutokana na idadi yao wangeweza kudominate kila eneo
Imekuja na meli hiyo lughaleast= list
Na wewe unapenda juu kama twiga
Lakini hata sasa ambapo serikali imewekeza kila eneo bado wanazidi kupeta mkoa wa kagera haukosagi ten best kwenye mitiahani ya form four,la saba,form two,la NNE fuatilia tangia 2010 ukikuta mkoa wa kagera haupo ten best kwenye mtihani hiyo unitag mfano mwaka matokeo ya darasa la saba shule 4 bora kitaifa zimetoka kagera na mabest students watatu wametoka kagera na mkoa wenyewe umefaulisha na kuwa wa tatu.form four 2016 bukoba ndio iliongoza kitaifa huku halmAshauri nyingine kama muleba,biharamulo, misenyi zikiwa teni best .je na sa hivi kuna wakoloni?Sio kwamba wao ni Intelligent bali wazungu waliweka makao yao huko na kuanzisha elimu mapema zaidi ya sehemu zingine lkn pia angalia kwa Wachaga na Wanyakyusa........hilo suala la kuongeza maksi ilikuwa kawaida hata Usukumani hakutaka wasukuma wengi waende sekondali alipandisha hivyo akihofia kutokana na idadi yao wangeweza kudominate kila eneo
Samak wa aina gani?
We ndo mnunuzi nini? Unafahamu mitaa yote hiyoUmesahau pia wahaya watu wanasikifika kwa KATERERO ukienda tmk sudani wapo,Manzese fisi,Mwananyamara,kigamboni kwa urasa,Sokota (sugar ray),temeke sokoni,mabibo corner(krn na N.I.t)tegete kibaoni pia mpo .Hizo ni baadhi ya sehemu pia aambazo mnapatikana sana,Cv yenu kubwa sana aise mnajitaidi sana yaani wasomi wanaongoza kufanya ujinga na kushindwa kujenga kwao......utani tu jamani nyie watani wangu
their name must be writtenjamaa zetu hawa wako vizuri, kuna mzee mmoja anaitwa Rwizandekwe, aliwahi kuwa katibu mkuu wizara ya sheria, Huyo ndo aliandika azimio LA Arusha akampa Nyerere, cha kushangaza Nyerere amekufa bila kuacknowlege
Kwa siku hizi unakubalika ila inategemea utawaingiaje ndugu zake ukiwadharau watakufanyia vituko .wapende ndugu zake utapendwa sana na kulikoMimi ni mzaramo natarajia kuoa mhaya. Nitakubalika kweli ?
Kwa maana hiyo zamani ilikuwa mbinde mzaramo kuoa mhaya?Kwa siku hizi unakubalika ila inategemea utawaingiaje ndugu zake ukiwadharau watakufanyia vituko .wapende ndugu zake utapendwa sana na kuliko
Lakin sasa hivi kwenu mnaongoza, omba Mungu atawasaidiaWako vizuri sana maana hata HIV/AIDS ilianzia huko
Asante kwa mchango wakoAsante kwa kuchangia!!!!!!!!