The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Asante kwa kuchangia!!!!!!!!Uzi wa wachaga ukute ushafika page ya 80 huko.
Yani hata hapa JF karihia nusu ya watumiaji ni wa huko.
Achana na sisi kaka, kwenye elimu tupo, kwenye biashara tupo.