Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Sio kwamba wao ni Intelligent bali wazungu waliweka makao yao huko na kuanzisha elimu mapema zaidi ya sehemu zingine lkn pia angalia kwa Wachaga na Wanyakyusa........hilo suala la kuongeza maksi ilikuwa kawaida hata Usukumani hakutaka wasukuma wengi waende sekondali alipandisha hivyo akihofia kutokana na idadi yao wangeweza kudominate kila eneo
Kwa wasukuma sio kweli. Wasukuma wenye akili hawakuwa wengi sana
 
hahahaha ukienda bukoba ndo utajua walivyo vichwa maji mpaka unashangaa

nimesoma nao hawakuwa wakali kiviiile, sema nilikutana na moja ilo chuoni lile jamaa linajua. dharau akili kubwa, kwa mara ya kwanza nilikuwa mnyonge mbele ya muhaya
 
Sio kwamba wao ni Intelligent bali wazungu waliweka makao yao huko na kuanzisha elimu mapema zaidi ya sehemu zingine lkn pia angalia kwa Wachaga na Wanyakyusa........hilo suala la kuongeza maksi ilikuwa kawaida hata Usukumani hakutaka wasukuma wengi waende sekondali alipandisha hivyo akihofia kutokana na idadi yao wangeweza kudominate kila eneo
Lakini hata sasa ambapo serikali imewekeza kila eneo bado wanazidi kupeta mkoa wa kagera haukosagi ten best kwenye mitiahani ya form four,la saba,form two,la NNE fuatilia tangia 2010 ukikuta mkoa wa kagera haupo ten best kwenye mtihani hiyo unitag mfano mwaka matokeo ya darasa la saba shule 4 bora kitaifa zimetoka kagera na mabest students watatu wametoka kagera na mkoa wenyewe umefaulisha na kuwa wa tatu.form four 2016 bukoba ndio iliongoza kitaifa huku halmAshauri nyingine kama muleba,biharamulo, misenyi zikiwa teni best .je na sa hivi kuna wakoloni?
 
Umesahau pia wahaya watu wanasikifika kwa KATERERO ukienda tmk sudani wapo,Manzese fisi,Mwananyamara,kigamboni kwa urasa,Sokota (sugar ray),temeke sokoni,mabibo corner(krn na N.I.t)tegete kibaoni pia mpo .Hizo ni baadhi ya sehemu pia aambazo mnapatikana sana,Cv yenu kubwa sana aise mnajitaidi sana yaani wasomi wanaongoza kufanya ujinga na kushindwa kujenga kwao......utani tu jamani nyie watani wangu
We ndo mnunuzi nini? Unafahamu mitaa yote hiyo
 
jamaa zetu hawa wako vizuri, kuna mzee mmoja anaitwa Rwizandekwe, aliwahi kuwa katibu mkuu wizara ya sheria, Huyo ndo aliandika azimio LA Arusha akampa Nyerere, cha kushangaza Nyerere amekufa bila kuacknowlege
their name must be written
 
Mimi ni mzaramo natarajia kuoa mhaya. Nitakubalika kweli ?
Kwa siku hizi unakubalika ila inategemea utawaingiaje ndugu zake ukiwadharau watakufanyia vituko .wapende ndugu zake utapendwa sana na kuliko
 
Kwa siku hizi unakubalika ila inategemea utawaingiaje ndugu zake ukiwadharau watakufanyia vituko .wapende ndugu zake utapendwa sana na kuliko
Kwa maana hiyo zamani ilikuwa mbinde mzaramo kuoa mhaya?
 
Mkuu wa shirika la kolping nchini na mwanzilishi wake tz padre David kamugisha
 
Back
Top Bottom