Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Mambo ya theory wako vizuri uwalete kwenye practical hasa hizi zinazohusisha kazi za movement achia mbali za kukaa mezani na kufanya decision haaa hapana
 
Miguu ya kihaya ikoje twin?
 
Wahaya wanaakili za kukariri laiti wangekua kama wachaga aah kule bk kungeng'ara ile mbaya ila wao ni watu wa ready made nije nitumie
 
Almachius kahwa nilisoma nae advance pale Azania alikuwa wa kawaida tu,japo chuo tulienda different university ila now namuona fb na vipicha picha yupo Japan huko ila niwapongeze mmefanikiwa kwenye kupiga shule na mme fail kupatengeneza nyumbani
 
Intelligence sio kusoma vitabu na kufaulu kuwa wa kwanza darasani halafu ukiambiwa u apply ulichofaulu unaanza u know u-know mimi ni wa kwanza darasani! This is the kind of stupid shit just a different day type of shit .Ukiuliza wamefanya nini kusaidia jamii inayowazunguka utakuta alimpiga mama yake na baba yake dawa ya kuua wadudu walipoenda kumtembelea.Intelligence ni kutumia maarifa uliyoyapata katika elimu kuboresha maisha ya jamii ambayo inakuzunguka sio kukaa kwa wazungu ukitumwa tumwa.Tukitaka kuendelea tu uuache huu upuuzi wa kila baba kumwambia mwanaye yeye alikuwa namba moja!
 
Almachius kahwa nilisoma nae advance pale Azania alikuwa wa kawaida tu,japo chuo tulienda different university ila now namuona fb na vipicha picha yupo Japan huko ila niwapongeze mmefanikiwa kwenye kupiga shule na mme fail kupatengeneza nyumbani
Nyumbani labda useme mjini bk lakini vijijini pameendelezwa haswa kwa mijengo mpaka maghorofa ila na bk inakuja juu siku hizi hasa baada ya tetemeko wanawekeza siku hizi sio kama zamani
 
Reactions: Lee
Hahahahaha umenikumbushaaa ntongo matoke vinalainisha Ile kitu ndomana wahaya wapo vizuri walainiiii hahaha ekipindi ekyo ntagomoka itako lyaja kuliii nana itama mpaka emana ekaba eli mpango [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
Tafsiri yake plz
 
Nyumbani labda useme mjini bk lakini vijijini pameendelezwa haswa kwa mijengo mpaka maghorofa ila na bk inakuja juu siku hizi hasa baada ya tetemeko wanawekeza siku hizi sio kama zamani
Nasikia kuna "ulaya ndogo " ni wapii hiyo sehemu
 
Watanzania hatuna huo utaratibu wa kuambiana ukweli. Hayo mambo umeyatoa wapi ?
 
Wasichana wengi wa kihaya wana miguu ya bia na shape 8 ndo maana watu wengi wa bukoba huiita miguu ya kihaya .
Wale ambao hawana guu la bia inakuwaje bossi

Kuna mtoto n rafk yangu anatokea muleba. Yeye hana guu la bia.
 
Anyway mi sio shabiki wa Uzi wako lakini hapo namfahamu Almachius kahwa...
Nilisoma nae advance pale Azania, the guy is exceptional n kwa mwaka wetu division one ilikua moja tu kwa Darasa letu la PCM na ilikua yake...
Alipoenda UDSM the rest is history, kwa sasa yupo Japan akisoma Masters
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema nn kuhusu watu wa dodoma
Dodoma ni kame,,matunda,(vitamins)hamna,labda ununue kama una fedha,na kama hauna ndo hupati!!!tofauti na bukoba matunda pori,ya kupanda ni mengi ,mengine bureee!!!kifupi dom,ukame umesababisha umaskini kwa watu wengi...hakuna mazao ya biashara ya kupata fedha za kujikimu,zaidi ya mahindi tu!!na mvua ni chache!!tofauti na kagera kuna shughuli za uvuvi,kilimo cha matunda,kuliko cha mazao ya biashara MF kahawa,pareto,miwa nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…