dogowakitaa
Senior Member
- Nov 29, 2017
- 169
- 161
Mambo ya theory wako vizuri uwalete kwenye practical hasa hizi zinazohusisha kazi za movement achia mbali za kukaa mezani na kufanya decision haaa hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila guu la bia na chemchem ya kutosha utawataka.wahaya WANA SURA MBAYA
Mbona ni Chuo kimoja tu, mie nawasifu wale wanao kuwa best secondary lkn hivyo vyuo vyenu vya kikabila siamini. Kuna uozo sana hapo Udsm
Mtu asiye muhaya"Mnyamahanga"
Nataka kuoa mtoto wa kihaya. Mbona unanitisha twinMi wanachoiudhi ni Yale masifa sifa majigambo na ukabila. Mnyamahanga hohehahe ukiingia ofisini kwao utaisoma namba
Cc Smart911
Miguu ya kihaya ikoje twin?Hahahahaha ningekua na miguu ya kihaya wangenikoma nishatoka Kitambo nilikaa huko zamani sana pindi nimemaliza chuo nilikua nisubiri ajira nilifanyaga interview world vision kagera nikakosa ndo nikawa nafanya part time pale Lweru ADP tulikua tunazunguka zunguka misenyi ADP katerero ADP Mbuka ADP almost all ADPs
Cc Smart911
Wasichana wengi wa kihaya wana miguu ya bia na shape 8 ndo maana watu wengi wa bukoba huiita miguu ya kihaya .Miguu ya kihaya ikoje twin?
Nyumbani labda useme mjini bk lakini vijijini pameendelezwa haswa kwa mijengo mpaka maghorofa ila na bk inakuja juu siku hizi hasa baada ya tetemeko wanawekeza siku hizi sio kama zamaniAlmachius kahwa nilisoma nae advance pale Azania alikuwa wa kawaida tu,japo chuo tulienda different university ila now namuona fb na vipicha picha yupo Japan huko ila niwapongeze mmefanikiwa kwenye kupiga shule na mme fail kupatengeneza nyumbani
Namanya manyaaa kumbeeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njaukutelamu enyama ekazile ntongo ne kiisio, no busenene alubaju, olye oyegoloole noteza na omuramba
Ukitoka hapo ni kupigwa mawota tu
Nasikia kuna "ulaya ndogo " ni wapii hiyo sehemuNyumbani labda useme mjini bk lakini vijijini pameendelezwa haswa kwa mijengo mpaka maghorofa ila na bk inakuja juu siku hizi hasa baada ya tetemeko wanawekeza siku hizi sio kama zamani
Watanzania hatuna huo utaratibu wa kuambiana ukweli. Hayo mambo umeyatoa wapi ?Intelligence sio kusoma vitabu na kufaulu kuwa wa kwanza darasani halafu ukiambiwa u apply ulichofaulu unaanza u know u-know mimi ni wa kwanza darasani! This is the kind of stupid shit just a different day type of shit .Ukiuliza wamefanya nini kusaidia jamii inayowazunguka utakuta alimpiga mama yake na baba yake dawa ya kuua wadudu walipoenda kumtembelea.Intelligence ni kutumia maarifa uliyoyapata katika elimu kuboresha maisha ya jamii ambayo inakuzunguka sio kukaa kwa wazungu ukitumwa tumwa.Tukitaka kuendelea tu uuache huu upuuzi wa kila baba kumwambia mwanaye yeye alikuwa namba moja!
Wale ambao hawana guu la bia inakuwaje bossiWasichana wengi wa kihaya wana miguu ya bia na shape 8 ndo maana watu wengi wa bukoba huiita miguu ya kihaya .
9. *SIR GEORGE KAHAMA*, the only sir in africa , alitoa ushauri positive kwa Malikia akampa u SIR.
Dodoma ni kame,,matunda,(vitamins)hamna,labda ununue kama una fedha,na kama hauna ndo hupati!!!tofauti na bukoba matunda pori,ya kupanda ni mengi ,mengine bureee!!!kifupi dom,ukame umesababisha umaskini kwa watu wengi...hakuna mazao ya biashara ya kupata fedha za kujikimu,zaidi ya mahindi tu!!na mvua ni chache!!tofauti na kagera kuna shughuli za uvuvi,kilimo cha matunda,kuliko cha mazao ya biashara MF kahawa,pareto,miwa nk.Kwa hiyo mkuu unataka kusema nn kuhusu watu wa dodoma