Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

ongezea n.a. majanga ya kimataifa yalianzia huko mfano juliana aka ukimwi,tetemeko la ardhi n.k
 
sasa inakuwaje Kagera unakuwa ni mmoja wa mikoa masikini nchini pamoja na "vichwa" vyote hivi (kama ni kweli)??
 
muda ulioutumia kutengeneza hii research yako umeupoteza bure na hautorudi, bora ungekaa ukameditate labda akili ingekukaa na ukapata mawazo mapya ya kuinua maisha yako. nasikitika kupoteza muda wangu kusoma thread la hovyo
Wataje kwa majina kama kama unawafahamu sio kuleta nadharia hapa
Wahaya wana akili sana hilo halina ubishi, ila umalaya sasa hapo ndiyo heshima yao inaposhuka
 
Nimeifahamu bukoba kwanza kupitia danguro zao daresalama na pili kupitia tetemeko maana nyumba zao na hali zao za maisha ni ya chini sana. Nyumba za udongo, watu hawana afya...maskini...
Utaifahamu vp Bukoba kwa kuudhulia madangulo ya Dar watu bana
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125], mimi ni Mhaya!!
 
Utofauti wa wahaya na makabila mengine hasa wachaga ni kwamba, wachaga wanathamini sana kwao. Mtu anaishi dsm au mwanza ila atajenga kwao kilimanjaro. Wahaya wao wanapenda maisha fulani ya kibepari, akiwa dsm anajenga dsm, akiwa dodoma anajenga dodoma. Wengi wenye mafanikio wameamisha wazazi wao na kuishi nao kwenye maeneo yao mapya ya kikazi na si bukoba.
KIUCHUMI KUJENGA NYUMBA YA 50M KIJIJINI WAKATI UNAISHI 90% YA MAISHA YAKO MJINI NI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI
 
sasa inakuwaje Kagera unakuwa ni mmoja wa mikoa masikini nchini pamoja na "vichwa" vyote hivi (kama ni kweli)??
Hiyo ni sawa na kusema kwa nn Tz pamoja na lasirimali zote tulizonazo mbona bado ni masikini hivi unajua sababu
 
Nimeifahamu bukoba kwanza kupitia danguro zao daresalama na pili kupitia tetemeko maana nyumba zao na hali zao za maisha ni ya chini sana. Nyumba za udongo, watu hawana afya...maskini...

Bukoba hipi unayo zungumzia mkuu, kwanza unaonekana unasumbuliwa na inferiority complex, ndiyo maana umekazania kuzungumzia vitu -ve tuu unafikiri hilo tu lita wa cut Wahaya to size - pole sana.
 
Bukoba hipi unayo zungumzia mkuu, kwanza unaonekana unasumbuliwa na inferiority complex, ndiyo maana umekazania kuzungumzia vitu -ve tuu unafikiri hilo tu lita wa cut Wahaya to size - pole sana.
Dada zenu ni watamu sanaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Safi sana hapo umezungumza tafiti nyeti haswa. Hongera MMkuu.
 
Umewahi kwenda vijijini ukaona nyumba watu wanazo ishi zinafananaje? Mnajisemea tu!! Kwanza toka zamani Wahaya walikuwa na utamaduni wa kujenga kijijini kwanza kabla hajajenga mjini - nambo mengi unayo zungumza humu ni ya kubuni tu - mtasena loloye tu kutaka kufurahisha Baraza.

Kitu kingine ambacho mnasahau ni kwamba Mkoa wa Kagera una Makabila zaidi ya moja siyo kila Mzaliwa wa Kagera ni Mhaya.
 
Dada zenu ni watamu sanaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Akili za kitoto, soma kwanza ulicho andika mwanzoni,uneleta habari za kutunga tu, umebanwa hapa kwa hoja unakimbilia kuzungumza vitu ambavyo havina mantiki - mtu mwenye akili za kuchambanua mambo utamjua tu, I am afraid kusema wewe si mmoja wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…