falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
mimi sio mhaya ila nauliza kwanini mmekimbilia kuishi milimaniKwahiyo nikusaidieje?
Tuviondoe vilima tuvipeleke Bukoba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi sio mhaya ila nauliza kwanini mmekimbilia kuishi milimaniKwahiyo nikusaidieje?
Tuviondoe vilima tuvipeleke Bukoba?
mkuu mimi si mhayaDuuuh kumbe mmeweka historia mpk havard
Tunatafuta fresh air,tho mimi sikai huko mkuu.mimi sio mhaya ila nauliza kwanini mmekimbilia kuishi milimani
Haiwezekani ndo maana wananyanyuana Mara nyingi hudharau makabila menginesijui wakidharauliana wenyewe kwa wenyewe inakuaje
hahahaha sina hata chembe ya uhayaKweli mnapenda sifa aisee, duuuh yaani umeumiza kichwa nakutumia kuda wako kudadavua tu wako wa kabila lako bila hata kuona kwamba huko ulipo dadavua wapo watu wa makabila mengine, kweli mnapenda sifa aisee
hahahaha sina hata chembe ya uhayaKweli mnapenda sifa aisee, duuuh yaani umeumiza kichwa nakutumia kuda wako kudadavua tu wako wa kabila lako bila hata kuona kwamba huko ulipo dadavua wapo watu wa makabila mengine, kweli mnapenda sifa aisee
hahahaha ila we kweli muhaya, unasema wapo ila wengi wanaishi wapi?Wapo ila hawajulikani na wengi wanaishi nje ya nchi
rwamishenyi
ni mhaya pure, sidhani kama huu uzi utadumuDuu na mmiliki wa hapa ni muhaya!
Unamaana gani kutaja mitaa ya rwamishenyeSido,Kamizilente,Kibeta,Kyakairabwa
hivi mnasalimianaje mkuuSido,Kamizilente,Kibeta,Kyakairabwa
kuanzia monsnyori gozbeti.......hapa wacha uongoUmesahau hawa bukoba inaongoza tz kwa kutoa maaskofu wengi nchini ikitoa hata askofu wa kwanza mwafrika maaskofu hao ni
1.askofu Deusderius Rwoma jimbo la bukoba
2.askofu Methodius kilaini jimbo la bukoba
3.askofu protace Rugambwa mshauri wa papa
4.askofu novatus Rugambwa balozi wa papa Honduras
5.askofu kyaruzi jimbo la sumbawanga
6.askofu mwoleka rulenge ngara
7.askofu nkaranga
8.kardinali Rugambwa kardinali wa kwanza mweusi nk
9.padri Pius Rutechura mkuu wa amecea mashariki mwa Africa nk
Katika ufaulu bado wanazidi kupeta mwaka Jana padri delphinus Rwehumbiza amekuwa best students kwenye chuo cha cuea catholic university of eastern Africa
.jimbo la bukoba ndo linaongoza tz kuwa na mapadre wengi zaidi Tanzania likifatiwa na moshi
Mosinyori gozbert byamungu aliponea chupuchupu kuuliwa na wazungu mjini Roma baada ya kuwakimbiza kielimu wazungu wengi na hata kuwazidi walimu wake katika chuo kikuu cha urbaniana hata hivyo amerudi bongo na hatumii simu akiogopa kukamatwa na kuuliwa yeya anaongea kilatini vzr kuliko hata waroma wenyewe mpaka wanataka kumuua hao ndo nshomile bwana na huo ni uwanja wa dini tu
Duu wanaitwaje hao?Hata mmiliki wa facenpbook na twitter ni mhaya!
Unafahamu monsinyori gozbert byamungu kutoka ishwandimi bk vijijini ? Kwa nini unakataa wakati tunaishi naye ?kuanzia monsnyori gozbeti.......hapa wacha uongo
Utakuwa mgogowahaya WANA SURA MBAYA
Mfano pleaz na picha ,prove pleasewahaya WANA SURA MBAYA