Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Kweli mnapenda sifa aisee, duuuh yaani umeumiza kichwa nakutumia kuda wako kudadavua tu wako wa kabila lako bila hata kuona kwamba huko ulipo dadavua wapo watu wa makabila mengine, kweli mnapenda sifa aisee
hahahaha sina hata chembe ya uhaya
 
Kweli mnapenda sifa aisee, duuuh yaani umeumiza kichwa nakutumia kuda wako kudadavua tu wako wa kabila lako bila hata kuona kwamba huko ulipo dadavua wapo watu wa makabila mengine, kweli mnapenda sifa aisee
hahahaha sina hata chembe ya uhaya
 
Wahaya wako vizuri kichwani,sababu kubwa ni lishe bora,bukoba ni eneo lenye vyakula vingi!!hivyo watoto wakienda shule huwa tayari wameshiba!!na ili usikilize vizuri lazima Tumbo liwe vizuri...pia samaki na matunda hasa parachichi(bukoba vnapatkana)hujenga akili !!!sasa mfano dom,hakuna jingine ni ugali tu through out of the year!!!akili itakujaje???
 
Umesahau hawa bukoba inaongoza tz kwa kutoa maaskofu wengi nchini ikitoa hata askofu wa kwanza mwafrika maaskofu hao ni
1.askofu Deusderius Rwoma jimbo la bukoba
2.askofu Methodius kilaini jimbo la bukoba
3.askofu protace Rugambwa mshauri wa papa
4.askofu novatus Rugambwa balozi wa papa Honduras
5.askofu kyaruzi jimbo la sumbawanga
6.askofu mwoleka rulenge ngara
7.askofu nkaranga
8.kardinali Rugambwa kardinali wa kwanza mweusi nk
9.padri Pius Rutechura mkuu wa amecea mashariki mwa Africa nk
Katika ufaulu bado wanazidi kupeta mwaka Jana padri delphinus Rwehumbiza amekuwa best students kwenye chuo cha cuea catholic university of eastern Africa
.jimbo la bukoba ndo linaongoza tz kuwa na mapadre wengi zaidi Tanzania likifatiwa na moshi
Mosinyori gozbert byamungu aliponea chupuchupu kuuliwa na wazungu mjini Roma baada ya kuwakimbiza kielimu wazungu wengi na hata kuwazidi walimu wake katika chuo kikuu cha urbaniana hata hivyo amerudi bongo na hatumii simu akiogopa kukamatwa na kuuliwa yeya anaongea kilatini vzr kuliko hata waroma wenyewe mpaka wanataka kumuua hao ndo nshomile bwana na huo ni uwanja wa dini tu
kuanzia monsnyori gozbeti.......hapa wacha uongo
 
Back
Top Bottom