Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

engineer wa kwanza Mtanganyika aliitwa Lwegalurila ndo mwanzilishi wa chuo cha Maji Ubungo

Dr wa binadamu wa kwanza Mtanganyika aliitwa Dk Kyaruzi alikua raisi wa kwanza Wa TAA
Mmmmmh ukimanisha wote wa uko?
 
Kama ni hivyo pamoja na usomi wao wote maskini basi tukisema Tz tumefika hapa sababu ya wahaya tutakuwa tumekosea?

Maana kwa uchambuzi wako sehemu karibia zote muhimu za uchumi hadi michezo wameshika wahaya lakini bado tupo nyuma tuu, kwanini msilaumiwe?
 
Back
Top Bottom