The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
[emoji23] [emoji23] wamekupitia nn [emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] wamekupitia nn [emoji85] [emoji85]
Mmmmmh ukimanisha wote wa uko?engineer wa kwanza Mtanganyika aliitwa Lwegalurila ndo mwanzilishi wa chuo cha Maji Ubungo
Dr wa binadamu wa kwanza Mtanganyika aliitwa Dk Kyaruzi alikua raisi wa kwanza Wa TAA
Ni kweli ila wao wamekuwa dominant kwe elimu muda mrefu na waliitambua elimu mapema kuliko makabila mengiUnamaanisha hawa jamaa sio ma intelligent kama wanavotambulika?
Ushawahi kuona mhaya kaolewa na mzaramo ?[emoji23] [emoji23] wamekupitia nn [emoji85] [emoji85]
Walitambua mapema au wakoloni waliwekwa karibu na mazingira ya kupata elimu?Ni kweli ila wao wamekuwa dominant kwe elimu muda mrefu na waliitambua elimu mapema kuliko makabila mengi
Mwili ni hekalu la M/Mungu sina budi kuutanza na kuheshimu...ila katika tafiti zangu ndo niligundua wahaya wana hayo mambo ya kuuza utu waoDuuuuuuu!!!! Bila shaka utakuwa ni mshiriki mzuri
Duhhh!!!Kuna ka mtaa kamoja sehemu moja inaitwa KANYIGO wote maprofesa ... fuatilia
Aseeee!! hatari sana.Nipo na mmoja hapa kilaza balaa. Huyu sijui ni muhaya aliyechakachuliwa?
Sababu hawataki kuzaa watoto wasiopenda shuleUshawahi kuona mhaya kaolewa na mzaramo ?
Vp tena mkuu kuna mtu kakiuka maandiko humu au???AYA YA SIKU
Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.
Maombolezo 3:40
Hongera kama ulinufaika na utafiti wakoMwili ni hekalu la M/Mungu sina budi kuutanza na kuheshimu...ila katika tafiti zangu ndo niligundua wahaya wana hayo mambo ya kuuza utu wao
Wala hujazuiwa ila ufungue uzi wako ili tusianze kuchanganya mamboTukileta tafiti za wachaga hapa mtatushambulia mpk asubui
Uwepo wa Wakoloni karibu yao si ndo ukawafanya wakaitambua mapema ndugu au?Walitambua mapema au wakoloni waliwekwa karibu na mazingira ya kupata elimu?
Ndiyo maana wanasoma sana.wahaya WANA SURA MBAYA
Uzi wa wachaga ukute ushafika page ya 80 huko.Wala hujazuiwa ila ufungue uzi wako ili tusianze kuchanganya mambo