Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

sio akili mazingira ya kihistoria tu yaliwabeba hivyo wakajikuta wengi wao wanasoma
 
Kwa wasukuma sio kweli. Wasukuma wenye akili hawakuwa wengi sana
Kaka nikwambie ujue kuanzia leo wasukuma wasingewekewa kizingiti wangelikuwa weengi mnoo kwe mfumo wa serikali japo hawakuwa na mwamko wa elimu kivile.......
 
Ukweli ambao wengi hawataki kuukubali ni kuwa sehemu walizotangulia wakoloni kuishi kwa sababu ya kuipenda hali ya hewa iliyokuwa ya ubaridi muda mwingi wa mwaka na kujenga shule na makanisa, elimu ilitangulia na kuwafanya watu wa maeneo hayo kuelimika kuliko maeneo mengine nchini. Maeneo hayo ni baadhi ya wilaya za Mbeya, Kilimanjaro na Kagera. Hivyo ni fursa na mazingira tu ndiyo yamewezesha makabila ya maeneo hayo kutoa wasomi wengi na sio akili zao maana wote asili yao moja ----- wabantu!
 
Napenda sana vyakula vyao traditional michemsho freshhhh ndizi samaki ntongo plus maharage wanamix humohumo asee siku ya kwanza kula hiko chakula nilijilamba mpaka kisogonii. Na parachichi lako aaaaaaaaaaaaaaaaaaa burudaaaaani [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Cc Smart911
 
Lakini hata sasa ambapo serikali imewekeza kila eneo bado wanazidi kupeta mkoa wa kagera haukosagi ten best kwenye mitiahani ya form four,la saba,form two,la NNE fuatilia tangia 2010 ukikuta mkoa wa kagera haupo ten best kwenye mtihani hiyo unitag mfano mwaka matokeo ya darasa la saba shule 4 bora kitaifa zimetoka kagera na mabest students watatu wametoka kagera na mkoa wenyewe umefaulisha na kuwa wa tatu.form four 2016 bukoba ndio iliongoza kitaifa huku halmAshauri nyingine kama muleba,biharamulo, misenyi zikiwa teni best .je na sa hivi kuna wakoloni?
Shule kuwa kwe 10 bora hata ikiwa Kagera haimaanishi kwamba ni ya Wahaya tu kuna makabila mengi sana yamechanganyika kila sehemu.......unachotakiwa kujua ni kwamba watu wenye akili wapo kila makabila si kwa wahaya tu
 
Mbona mkoa wa kagera haukosagi ten best kwenye matokeo[/QUOT

mkoa wa katavi miaka 5 haukosi kumi bora, hivyo wafipa ni majiniazi baada ya wahaya.

kuna mchanganyiko wa watu wengi mkoa wa kagera pia uwekezaji mkubwa umefanywa ivo kuwavutia wengi kwenye shule za binafsi.
 
Mkuu ila siku hizi wameanza kurudi ingawa wengine bado walio bukoba ni mashahidi hivi karibuni uwekezaji umeanza kuonekana na wanajenga sana vijijini kuliko mjini lakini siku hizi hata Bk imeanza kuamuka kwa kasi
Haaaa unaeza kwenda sehemu unaona migomba kibaooo kitu kijaniii kama ka Pori hivi weeeee Kuna mijengo yaukwee noma noma

Cc Smart911
 
Napenda sana vyakula vyao traditional michemsho freshhhh ndizi samaki ntongo plus maharage wanamix humohumo asee siku ya kwanza kula hiko chakula nilijilamba mpaka kisogonii. Na parachichi lako aaaaaaaaaaaaaaaaaaa burudaaaaani [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Cc Smart911
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] karibu tena na senene pembeni utashushia na juice ya ndizi, lazima kitambi cha muda kiote [emoji39] [emoji39]!!!!!!
 
Nilisikia Wengi hawapendi kujenga kwao miaka hii ndo wanapakumbuka!

Cc Smart911
Walipoonekana wanajenga kwao walianza kuitwa makabila hata siku hizi ambapo wameanza kujenga tena bado wanaendelea kuitwa hivyo na kuzuiwa mfano uwanja wa kisasa wa kaitaba na airport wengi wameanza kusema kwa nini bukoba hata siku hizi meli ilivyoanza kujengwa kubwa wengi wameanza chokochoko za kwa nini iwe bukoba hata ujenzi wa shopping mall na ujio wa rais Bukoba na kukaa siku NNE watu wanasema kwa nini bukoba hilo ndo lilikwamisha wahaya kujenga kwao ila sasa wameshawaelewa watz ndo maana wanarudi kwa kasi kuijenga kgr hasa bukoba mjini
 
Kaka nikwambie ujue kuanzia leo wasukuma wasingewekewa kizingiti wangelikuwa weengi mnoo kwe mfumo wa serikali japo hawakuwa na mwamko wa elimu kivile.......
Mkuu hapo sidhani kama ni kweli kwa sababu hadi leo hii wasukuma bado wanakimbilia porini kusiko na shule ili wachunge, sasa sipati picha miaka ya nyuma ilikuwaje
 
Inawezekana ni kweli hata Mimi nimewahi kusoma na vijana wa kihaya kadhaa ni baraa nakumbuka kuna mmoja aliwahi kushika namba moja ya mtihani wa kidato cha pili akiwa mbele kwa maks 600 dhidi ya MTU wa pili
 
Napenda sana vyakula vyao traditional michemsho freshhhh ndizi samaki ntongo plus maharage wanamix humohumo asee siku ya kwanza kula hiko chakula nilijilamba mpaka kisogonii. Na parachichi lako aaaaaaaaaaaaaaaaaaa burudaaaaani [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Cc Smart911
810150ddc64e8c0b459674c52d951050.jpg
 
Wakoloni waliwapenda wahaya kwa sababu walikuta baadhi ya mambo na kuyashangaa mfano bunge kuu la wahaya la chemba rwamishenye ambalo halikutofautiana na ya ulaya.na pia kustaarabika na makao ya kudumu ya wahaya ambao nao walijenga urafiki nao.
Walishangaa kwa sababu walifika huko kwa Wahaya huenda hata kwa makabila mengine yalikuwepo sema kwa sababu hawakufika hayakuweza kubinishwa
 
Back
Top Bottom