Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Ila upinzani ndo umeamusha maendeleo kuliko ccm ambao waliisabishia hasara bkb bil 18 kwa bifu zao za wenyewe kwa wenyewe watazame ukawa wanaleta maendeleo mfano stendi inajengwa, na barabara zinajengwa nyingi kuliko ccm na wameshakomboa bil 5 kati bil 18 na ccm wanashirikiana maana malumbano yalishasababishia hasara manispaa
Kweli kuna vitu kama stend sasa hiv visingekuwa vinaongelewa tena ila watu wasiojielewa walisababisha yote haya, ndo maana wana bukoba waliamua kupiga chini washenzi wote na sasa hivi mambo ni shwari kabisa
 
Wako vizuri kichwani, hata wakiwa hawajasoma hapa kwetu kwenye taasisi ya biashara namtolea mfano bosi Ruge Mutahaba.

Ila..... ila.... nilisikia huwa wanasifika kwa.....

Kwa.....

Kwa......

Yaani ni wataalam wa......

View attachment 667887
Ila kwa kujisifu tuu na madharau hawajambo, utasikia rweyemamu anamuagiza houseboy wake hebu chukua hizi funguo za vanguard ukanunue chakula cha boby (mbwa) hapo supermarket.

Hahahahaa pamoja na madharau nachowapendea wanajua kusaidiana kwa kunyanyuana na wanajua kutafuta pesa ndo maana matumizi yao huwa ni makubwa na ya dharau. Wanapenda sana pride labda ni inborn.

Ever Smiling Kasie.
Umewajua vilivyo
 
Taja hiyo mikoa......maeneo yote waliyokaa na kujenga mashule watu wake walitangulia kusoma kwa wingi kuliko sehemu zingine......labda unataka kuendekeza ubishi tu ndugu yangu
Tabora boy's, morogoro, iringa, songea,bagamoyo,mwadui shinyanga na dar es salaam na sehemu nyinginezo lakini watu hawakuwa na mwamko wa elimu
 
Hahahahaha ningekua na miguu ya kihaya wangenikoma nishatoka Kitambo nilikaa huko zamani sana pindi nimemaliza chuo nilikua nisubiri ajira ndo nilifanyaga interview world vision kagera nikakosa ndo nikawa nafanya part time pale Lweru ADP tulikua tunazunguka zunguka misenyi ADP katerero ADP Mbuka ADP almost all ADPs

Cc Smart911
Njoo nikukatie yangu ili tukuchukue jumla
 
Njaukutelamu enyama ekazile ntongo ne kiisio, no busenene alubaju, olye oyegoloole noteza na omuramba

Ukitoka hapo ni kupigwa mawota tu
Hahahahaha umenikumbushaaa ntongo matoke vinalainisha Ile kitu ndomana wahaya wapo vizuri walainiiii hahaha ekipindi ekyo ntagomoka itako lyaja kuliii nana itama mpaka emana ekaba eli mpango [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Chonkiiiwe wansechya aaha nagamba olunyambo

Lelo oije oshangwe oine ekintu ekitusile okalya ebinulilizi nke ebyo noshemela omubili na kyonene nkigila majuta, omutezi kaikwija nalabyao omukono natela eigulu kyonene kyashesha amajuta kudadeki

Smart asipite hapa wallah
 
Hahahahaha umenikumbushaaa ntongo matoke vinalainisha Ile kitu ndomana wahaya wapo vizuri walainiiii hahaha ekipindi ekyo ntagomoka itako lyaja kuliii nana itama mpaka emana ekaba eli mpango [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Cc Smart911
Duh!!!!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Tabora boy's, morogoro, iringa, songea,bagamoyo,mwadui shinyanga na dar es salaam na sehemu nyinginezo lakini watu hawakuwa na mwamko wa elimu
Lol morosec ilijengwa 1950's.... Kama sitasahau nadhani watu walikua wanapenda midundiko vibisa na kunema wali kuliko elimu kipindi hiko . miaka hii performance yake iko poooorrr compared na miaka yetu. Sikuhizi morosec vijana usharo mwingi.

Cc Smart911
 
Njoo nikukatie yangu ili tukuchukue jumla
Haaaa hawatakunywa maji asee sio kwa mino hizo hapa penyewe guu Sina napambana na vimino ka nipo kwa museveni vile ningepewa si ndo ingekua balaa.. Kuna mama mmoja niliona anamfanya dizain fulani hivi mwanae wa kike kalikua bado kachanga kachanga alikalaza kifudifudi akawa kama anakakandamiza maeneo ya kiuno kuelekea mpaka kwenye matak anazunguka kwenye hips dizain kama anakashepu... Na kwenye miguu hivohivo nikamuuliza akasema mtoto akiwa bado mchanga kumshepu rahisi wamama wengi wa kihaya hufanya hivo.. Nikaiweka kichwani siku nikitotoa nami ntakikandamiza cha kwangu kikuwe na shepu na guu kama ya kapeace haha

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom