wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Kwanini?Huko tutakuwa hatuendi!
This is very expensive. Fastjet ukiwahi booking you pay very little!Mbona sawa na nauli za fast jet
This is very expensive. Fastjet ukiwahi booking you pay very little!
ila fastjet ni fast kweliMbona sawa na nauli za fast jet
Hili ndio swali la msingi?Sasa kama hiyo ni ofa bei halali ni sh ngapi.?
Wewe mwehu kweli ufikie uchumi wa kati na 160k ni kidogo mmelogwa nyie.
Anafananisha na basi la ZuberiGo and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000
Huko subirini treni ya umemeMwanza to Bukoba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ya kwetu tairi angani kwa kwenda mbeleHii ndege sio yenyewe,,,mbona ya kwetu tairi zinaonekana hata ikiwa angani
Ndo maana nikauliza make sijaona tofauti. Fast jet kuna wakati wanashuka mpaka 280000/kwenda no kurudi. Atcl mpaka inakufa ilikua 150000/- single trip
Mara nyingine nawe unamatatizo sana! Unajuaje kama alieleta hii habari ni kutoka Lumumba na sio kutoka Ufipa wakiongozwa na Ben saanane na mwezake yericko