Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

wekeni na nauli ya dar kwenda zanzibar, mtwara, mbeya na mafia....
 
Mh bado changamoto ni nyingi sana je hutuma zao ni zaid ya fast jet? au sawa na fast jet? au tukapande kwa uzalendo? Maswali yangu ni ya msingi coz hi ni biashara na siku zote biashara ni ushindani je Itcl imejipanga kwa hilo?
 
Uchumi wa Kati tutaufikia, Usafiri wa muda mfupi kwenda mwanza na Arusha unafanya biashara na kurudi Dar siku hiyo hiyo.

Hapa kazi tu .

Wewe mwehu kweli ufikie uchumi wa kati na 160k ni kidogo mmelogwa nyie.
160k ni parefu kishenzi.....
ondoa ukichaaa wenu hapa kwani mlishalaaniwa kwa kunyimwa akili na maarifa ndiyo maana mnashangilia kila jambo hata kama ni msiba.
 
VIGELEGELEEEE!!! WATANZANIA VIGELEGELEE!! VIGELEGELEEEE!!!!
 
Kwahiyo ile ya Kusema Consumption of fuel ipo chini yaani tofauti ya more than Tzs.24,000,000/- Kwa Mujibu wa Rais Magufuli.Nauli itakuweje kubwa kuliko pression ambao wao wanarusha ndege kwa bei kubwa?
 
Uchumi wa Kati tutaufikia, Usafiri wa muda mfupi kwenda mwanza na Arusha unafanya biashara na kurudi Dar siku hiyo hiyo.

Hapa kazi tu .

Hii ndege sio yenyewe,,,mbona ya kwetu tairi zinaonekana hata ikiwa angani
 
Hii ndege sio yenyewe,,,mbona ya kwetu tairi zinaonekana hata ikiwa angani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ya kwetu tairi angani kwa kwenda mbele
Ndo maana nikauliza make sijaona tofauti. Fast jet kuna wakati wanashuka mpaka 280000/kwenda no kurudi. Atcl mpaka inakufa ilikua 150000/- single trip

Mara nyingine nawe unamatatizo sana! Unajuaje kama alieleta hii habari ni kutoka Lumumba na sio kutoka Ufipa wakiongozwa na Ben saanane na mwezake yericko
 
Back
Top Bottom