Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.
Sasa hizi Propaganda za
Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.
Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.