Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

Haya bei hizo kwa wale wasafiri wa ATCL

Unatafuta kiki?....usijali sisi tuta ku kick kwa nyuma usogee mbele.
 
160, 000 kama siwahi sanaa nitapanda Yutong Tu Luxury ... Haya mapanga boy hata Raha hutoona kwa hela hiyo yoteee bora upande ya 45000 na TV unaona
Akili yako bwana.....sasa 45000 plus siku mbili za njiani....au Luxury Yutong zina vitanda?
 
Go and return za ndege haziko hivyo mkuu, ikiwa one way ni 160,000, kwenda na kurudi inaweza kuwa 270,000

bado ATCL wako juu. mfano hii ni ya fastjet. na hapo hapo mnasema ndege za fastjet zinatumia mafuta mengi zaidi. sasa iweje mwenye kutumia mafuta mengi awe na bei ya chini


Direct 154,000 TZS
10:10

11:40
Fri 21 Oct
FN0143
Direct 176,000 TZS
15:20
Fri 21 Oct
16:50
Fri 21 Oct
FN0145
Direct 176,000 TZS
19:45
Fri 21 Oct
21:15
Fri 21 Oct

06:00
Sat 22 Oct
07:30
Sat 22 Oct
FN0141
Direct 154,000 TZS
 
Hawa watanimalizia perdiem! Bado Kilimanjaro inanihusu.
 
Basi mororooo, mapanga shaaaaaaa!
160,000 one way, two way 320,000/-. Au kuna punguzo? Watabaki kupanda wale wale. Na ATCL ina madeni ya Nyuma. Kila senti itaenda kulipa deni. Mpaka 2025 madeni yatakuwa bado hayajaisha. Atakuja Rais mwingine atapuyanga na yake.
Umewekewa nauli.
Hujaulizwa pesa ifanye nini.
 
Mleta mada ni kile kikundi cha "wanapropaganda" wa Lumumba mitandaoni,wakiongozwa na Chriss Lukosi kule Fb.
Hii wamekaa tu watu na kuitengeneza,haina ukweli wowote.Mpaka sasa bado ndege mpya hazijanyanyuka...Hata system mpya ya booking online ipo off...Lazima wezi wa tiketi waliwe vichwa kwanza.

Sasa hizi Propaganda za Wakudadavuwa zinaweza ama kulipaisha shirika au kuliuwa.Maana mtu akiona bei hii hapa,akienda akakuta ipo juu zaidi atasema ATCL ni wahuni,mitandaoni bei hii,uhalisia ni bei hii.Matokeo yake manapoteza abiria kijinga jinga sbb ya Propaganda za Lumumba.

Mmeshaleta ndege,nyie kaeni pembeni na siasa zenu.Tuachieni ndege zifanye kazi.Kama kutekeleza ahadi mshatekeleza,haina haja ya "siasa" huku kwingine.Bei zitaendana na soko,sio siasa za kufurahisha watu halafu ATCL irudi ilikotokea.Mshindwe na mlegeee!!Mnataka tena kuliuwa shirika letu na siasa zenu za kibwege.
Na huyo mtu ambaye atategemea mitandao ya jamii
Kujua nauli apimwe.
Huu uzi ni maalum kwa malumbano siku ipite
 
Back
Top Bottom