Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda.

Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda.

Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu huchukua Mlungula kote kote na hupenda Kubalansi Derby kwa kuona Aibu japo kiuhalisia ni mwana Simba SC ila ni muoga muoga.

Refa akiwa ni tofauti na hawa Watatu niliowataja hapa kwa Majina ila Fourth Official akawa ni Mwanamke basi kwa 100% Simba SC itashinda.

Hata hivyo pamoja na GENTAMYCINE kuwaletea yote haya ila wana Simba SC Wenzangu mtanisamehe na msichukie ila ukweli ni kwamba Kindumba ( Kiuchawi ) kuna mahala Yanga SC wametukamata na hadi muda huu naandika huu Uzi matokeo niliyonayo ni kwamba Simba SC itafungwa Goli 1 kwa 0 au Magoli 2 kwa 1.

Hata hivyo Juhudi za Kiutamaduni ( Kindumba ) zinaendelea ili kubadili matokeo ila tatizo Kubwa ni muda wa Saa 11 Jioni ambapo Jini la Yanga SC ndiyo huwa Hatari na Kali na la Simba SC huanza kuwa Imara kuanzia Saa 12 Jioni na hasa Saa 1 Usiku.

Na kwa Yanga SC wana Wataalam ( Waganga ) wengi ila kwa Mechi zote za Simba SC humtumia Mganga wao Hatari ambaye ni Mjomba wake na Kiongozi wa Simba SC Murtaza Mangungu ambaye pia ndiyo Mganga Mkuu wa Kiongozi Mmoja mkubwa, Mawaziri Watatu na Wabunge Tisa.

Kwa Simba SC Kesho Mzigo ( Ndumba ) ataibeba John Boko au Kibu Denis na kwa Yanga SC Ndumba ( Mzigo ) atabeba Mudathir Yahya au Bakari Mwamnyeto.

Jamiiforums Captain GENTAMYCINE I'm back. Na Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Screenshot_20231027-082303.jpg
 
Ngoja kesho tuone mganga/mchawi Mzee wetu wa kupaa na ungo Mzee wa utamaduni Mzee wa kijadi Mzee wa Kimila GENTAMYCINE je yupo sahihi


Wa kubet mshapewa hio fixed game

Yanga 2-1 Simba au Yanga 1-0 Simba
FT

Mganga mjombake na Murtaza Mangungu mganga nguli kabisa

Ila kuna mganga nguli Baite Ngozi Ngomanagwa toka huko Mpitimbi kotongoji cha Mpigamitimingi kasema ngoma inalala bila kuvuka goli 2 yaan jumla magoli hayatofika matatu Ila Simba hatopata goli hata la kubahatisha

Yaan Yanga 1-0 Simba au Yanga 2-0 Simba

Ebu tuone na huyu mganga yupo sahihi au hawa waganga waongo
 
Popoma la dunia.
Braza popoma ipo siku nitakusikia CCM kama mwenezi, mpira huuwezi.
Huku CCM hatutaki wenye ubongo, wewe unafaa.
 
[QUOTE="GENTAMYCINE

Na kwa Yanga SC wana Wataalam ( Waganga ) wengi ila kwa Mechi zote za Simba SC humtumia Mganga wao Hatari ambaye ni Mjomba wake na Kiongozi wa Simba SC Murtaza Mangungu ambaye pia ndiyo Mganga Mkuu wa Kiongozi Mmoja mkubwa, Mawaziri Watatu na Wabunge Tisa.

[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. ......
Duh..!!
 
Back
Top Bottom