Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

Ya kiwa kweli nitaanza kukuogopa
 
Sorry for this, but as a matter of fact you are now turning out to be a DISGRACE!! Wakati watanzania na Afrika yote kwa ujumla wanatarajia kuona burudani ya soka safi la kiushindani, wewe unataka kuturudisha kwenye ujima wa kiuchawi. Nani ana hamu na kushuhudia mambo ya kishirikina?!! Uzuri ni kwamba watu wenye mawazo kama ya kwako kwa sasa ni wa kutafuta kwa tochi!!
 
Wakuu nimenunua tiketi ya mzunguko wa N-card wamenipa mpaka namba ya siti!
Hofu yangu nikwamba inazingatiwaje kujua mimi ni Yanga au Kolo maana mule watu hukaa kila timu na upande wake!!
 
Mbona Nigeria awajawai kubeba kombe la Dunia na ndiyo nchi inayoongoza kwa ushirikina duniani? Ifike wakati tuondoke kwenye habari za ulozi na fikra potofu, dawa ya kufika hatua kubwa kimafanikio ya soka ni kuwekeza kwenye usajili Bora, benchi Bora la ufundi, menejiment Bora na uwezo madhubuti wa kiuchumi kwa vilabu vyetu utakaowezesha kulipa mishahara ya uhakika kwa watumishi wake hasa hasa wachezaji pia miundombinu Bora ikiwemo viwanja nk!
 
Kama Bodi ya ligi wanataka mtu afie uwanjani basi hiyo mechi kesho achezeshe TATU MALOGO... Walah mm nitampga mitama ya kila rangi!.
 
Welcome back
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…