Ukanda wa shughuli na ngoma, utaweza kukesha kumlinda mkeo kila Alhamisi mpaka Jumatatu? Kuna watu wanaitwa ngoma nzito usiwasikieLindi
Singida, morogoro na Pwani ni kidogo sana......
Ndiyo maana nikawaweka mwishoni kwamba kuna wanawake ukiwatuliza mfano kama wewe ni mwislamu ukawaendea kidini wanapoa kabisa.Ukanda wa shughuli na ngoma, utaweza kukesha kumlinda mkeo kila Alhamisi mpaka Jumatatu? Kuna watu wanaitwa ngoma nzito usiwasikie
Morogoro nimefutaaaaa, asante kuniunga mkono.Dah kigoma kwa waha upo sahihi 100%. Nafikiri mwaka huu Mungu akinipa uzima nikatafute huko wife material bikra mmoja nitie ndani, au Shinyanga.
Ila kuhusu Morogoro na Pwani wacheza vigoma vya Uruguay sijui umezingatia vigezo gani, bora hata hizo Mwanza na Bukoba. Aisee, wale si wanawake ni majambazi! Na walivyopewa wanaume wao wengi ni kama mapungazeze ndo balaa kabisaaa
Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......
mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.
Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
πSawa mkuuMorogoro nimefutaaaaa, asante kuniunga mkono.
Wakipata mwanaume sahihi huwa wanatulia, niamini mimi wakiharibikiwa ni ovyo.Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?
Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?
Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Eeehh!!! Nabaki kataa ndoa sasa. Imani yangu kiduchu ilikuwa imebaki huko.Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?
Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?
Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Usibaki kataa ndoa hiyo mikoa ni mizuriEeehh!!! Nabaki kataa ndoa sasa. Imani yangu kiduchu ilikuwa imebaki huko.
Ila naona wadau wangu kadhaa waliooa huko ndoa zao zipo stable, na wake zao ni wapambanaji, submissive & mabahili kiasi kwamba ustawi wa familia unaimarika (kimaadili, kiuchumi, nk) nikilinganisha na waliooa kwingine
Usisahau SingidaKigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?
Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?
Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Ukioa ukuryani ujue kupiga mke vinginevyo utajutaWakuria wapo on fire.
AiseeeeKuna namna wanaume wa siku hizi hatutumii akili kumkichwa.
Haya nitamshauri na dronedrake twende huko na tutazingatia ushauri wa Jokajeusi na Natafuta AjiraUsibaki kataa ndoa hiyo mikoa ni mizuri
πππUkioa ukuryani ujue kupiga mke vinginevyo utajuta
Ongeza RuvumaHivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......
mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.
Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
Uislamu na wife Material ni maji na mafuta. Hakuna mwanamke wa kiislamu ambaye akij*mba h*nyi.Ndiyo maana nikawaweka mwishoni kwamba kuna wanawake ukiwatuliza mfano kama wewe ni mwislamu ukawaendea kidini wanapoa kabisa.