The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Ruvuma
Rukwa
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......
mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.
Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Kagera, bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
Watu wanalia lia kwa kukimbilia sehemu ambazo hata historia zao hawazijui.
bila upendeleo wowote mimi natokea mkoa ambao wife material hakuna lakini nimesema ukweli ulio kweli.