Haya Hapa Maeneo Yenye Wife Material Tanzania.

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Ruvuma
Rukwa
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......

mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.

Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Kagera, bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.

Watu wanalia lia kwa kukimbilia sehemu ambazo hata historia zao hawazijui.

bila upendeleo wowote mimi natokea mkoa ambao wife material hakuna lakini nimesema ukweli ulio kweli.
 
Dah kigoma kwa waha upo sahihi 100%. Nafikiri mwaka huu Mungu akinipa uzima nikatafute huko wife material bikra mmoja nitie ndani, au Shinyanga.

Ila kuhusu Morogoro na Pwani wacheza vigoma vya Uruguay sijui umezingatia vigezo gani, bora hata hizo Mwanza na Bukoba. Aisee, wale si wanawake ni majambazi! Na walivyopewa wanaume wao wengi ni kama mapungazeze ndo balaa kabisaaa
 
Morogoro nimefutaaaaa, asante kuniunga mkono.
 
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......

mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.

Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?

Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?

Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
 
Wakipata mwanaume sahihi huwa wanatulia, niamini mimi wakiharibikiwa ni ovyo.
 
Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?

Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?

Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Eeehh!!! Nabaki kataa ndoa sasa. Imani yangu kiduchu ilikuwa imebaki huko.

Ila naona wadau wangu kadhaa waliooa huko ndoa zao zipo stable, na wake zao ni wapambanaji, submissive & mabahili kiasi kwamba ustawi wa familia unaimarika (kimaadili, kiuchumi, nk) nikilinganisha na waliooa kwingine
 
Usibaki kataa ndoa hiyo mikoa ni mizuri
 
Kigoma hii ambayo binti wa miaka 20 tayari ametembea na wanaume wasiopungua watano au?

Huo ubishi ndani utauvumilia? Hizi tafiti huwa mnazifanyia wapi?

Hakuna mkoa wenye mabinti rahisi kulika kama Kigoma,Tabora na Tanga.
Usisahau Singida
 
Hivi kuna mikoa huwa najiuliza kwa haraka haraka unakosaje mke.....
maana wife materials wengi tu....wala hutumii nguvu kuwapata.
Kigoma
Tabora
Katavi
Tanga
Shinyanga
Iringa
Mara/Musoma
Lindi
Singida, na Pwani ni kidogo sana......

mikoa niliyotaja hapo juu ina viwanda vya wife materials.

Mikoa hatari kabisa, hakuna wife materials kiivo ni
Mbeya
Arusha
Mwanza
Dodoma
Kilimanjaro
Bukoba
Manyara
Dar kuna 80% ya wasio na maadili.
Ongeza Ruvuma
 
Back
Top Bottom