Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Wote ni wezi ila wanatofautiana mda tu na wakati niwe muwazi tu hakuna mwanasiasa ambaye sio mwizi Tanzania hii
 
Huyo Majaliwa hiyo shule anailinda sasa kwa sababu ni waziri mkuu. Siku akitoka tu, wanaichukua. atafanywa kama Sumaye.
 
Hii imedhihirisha akina mama wanastahili kupewa uongozi wa nchi! Au tuseme UWCCM hawana mali za kufisadi? Mungu fanya hima mama Samia akabidhiwe nchi!
Kesha fanya, mbona ndiyo kwanza yanatokota!
 


Inashangaza hawa ndio tunawapa uongozi. Wezi, wala rushwa, wahuni. Maji, umeme, viwewashinda.


Wanachojua ni kuiba, wengine kufiran,a , ushoga. tumewapa nchi.
 
majizi matupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…