ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa ufisadi huu Mzee magu bora uhamie chadema tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maono yako yametimiaHii imedhihirisha akina mama wanastahili kupewa uongozi wa nchi! Au tuseme UWCCM hawana mali za kufisadi? Mungu fanya hima mama Samia akabidhiwe nchi!
Duuuuu alafu huenda aliongea kiweoesi tu 😁Maono yako yametimia
Inawezekana kuna mtu alichengesha hisa badala ya kwenda kwenye Serikali ikawa inapelekwa kwa chama!CCM ina hisa halotel? how?
AiseeHii imedhihirisha akina mama wanastahili kupewa uongozi wa nchi! Au tuseme UWCCM hawana mali za kufisadi? Mungu fanya hima mama Samia akabidhiwe nchi!
Kesha fanya, mbona ndiyo kwanza yanatokota!Hii imedhihirisha akina mama wanastahili kupewa uongozi wa nchi! Au tuseme UWCCM hawana mali za kufisadi? Mungu fanya hima mama Samia akabidhiwe nchi!
1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel Ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June, 2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru ameapa kuwawajibisha kila mmoja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Ripoti mali za CCM; Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki
=====
UPDATE:
Juni 05, 2018
View attachment 794406
Yupo anapalilia migomba
majizi matupu1. Bulembo: Kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi

nashangaaaTangu lini mwizi akamkagua mwizi mwenzie?