Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Tetesi: Haya hapa majina mengine katika Ripoti ya Mali za CCM (Makinikia ya CCM)

Huo ukurasa namba moja weka kurasa zingine haiwezekani toka mwaka 1977 hadi leo miaka 41 hao tu ndio wawe walio faidi mema ya nchi
 
Sasa watapandishwa kwa mahakama zipi? Mafisadi? Kisutu? Au wana mahakama zao hukoo
 
nimesoma mara mbilimbili waliotajwa na nasikiliza yanayiendelea nje ya wigo wa KAMATI KUU hata kabla ya haa kutajwa
 
mbona sijaona jina la EMANUEL NCHIMBI si walisema yeye amefanya ufisadi jengo la umoja wa vijana ?
Kuna wazee hawataonekana hapo orginal report anayo mkulu, kwenye hii report kuna majina yalisha chomolewa, juzi Mkapa&co kwenda kuweka sawa ikulu, ili kukilinda chama, kuna wazee wakitajwa hapo Tanzania itasimama kwa mda
 
Ipo namna ya kushighurikia tatizo hasa likiwa kubwa tena ndani ya familia moja, kufahamu tatizo ni jambo moja la msingi na kuzuia lisiendelee, na kulipa au kurudisha, sitegemei jambo Zito Sana ni hatua ya kujua ili kusonga mbele
 
Kumbe ccm wana hisa halotel, ndo maana halotel walikua wanaingiza vifaa bila kulipia ushuru
 
Back
Top Bottom